Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Juzi juzi walivamiwa watalii bahati mbaya wengine waliuawa na kuibiwa..kilichotokea serikali ilitoa helkopta na mkuu wa operation wa polisi wakasaka mtaa kwa mtaa na kuwapata baadhi ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana zilizagaa habar kuwa kuna madaktar wapya wataletwa,kama serikali ndo imefikiria hivyo,nahis ujio wa hao madaktar wapya utaleta ajira kwa kada mbalimbali za watanzania,kwanza wataalam wa lugha...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ok, nilikuwa naperuzi old threads nikamkuta huyu dada (?) anaongelewa lakini maswali yamekuwa mengi kuliko majibu Nimejaribu ku google kuona anatokea kwenye branch ipi ya akina rockefeller...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
WanaJF Habari zenu, tafadhari hili jambo sio la mzaha, kweli madaktari wanamadai (kama ya msingi haya kama sio ya msingi sawa), lakini lazima tukubali kuwa mgomo sio suruhu wa matatizo...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
kaz za kisanii mbona znachakachuliwa kweupeee hapa bongo, nini kifanyike?.
0 Reactions
0 Replies
782 Views
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imesema kuwa usajili uliofanywa kwa meli za mafuta hivi karibuni, umefuata taratibu zote zilizowekwa kisheria na kwamba itaendelea kufanya mazungumzo na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF.kuna kitu kimekuwa kikinishangaza wakati nakisikia kwa watu na sasa kinanitokea na mimi.Hawa kampuni ya umeme wako ktk kazi ya kufunga mita mpya kwa wateja.Cha kushangaza unit 50...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Huyu Kikwete amekuwa akienda Washington na kukaa na viongozi wa Marekani na kufanya maongezi nao kiasi kuahidiwa mambo kibao. Tulipo lalamika kuhusu safari zake kule na kwingineko tukajibiwa kuwa...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Nataka kujua kuwa mzawa wa Zanzibar ni nani na asili yake ..kwani hawa wenye uzawa wa kiarabu ni wakuja tu ...sasa je ni nani ni mzawa wa Zanzibar?
0 Reactions
75 Replies
9K Views
Chupa za maji zinazotupwa barabarani na wapita njiani baada ya kumaliza kunyua maji ni hatari sana baada ya kutumika, Gari ikiikanyaga ile chupa ule mfuniko wake hufyatuka kwa kasi sana kiasi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna habari kuwa ndugu wa karibu wa mtangazaji maarufu bw efraim kibonde amefariki dunia katika hospitali ya mwananyamala. pole sana KIBONDE na mungu akupe nguvu
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Madaktari wastaafu waamriwa kurudi kazini,
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadai wana haki ya kuishi kama haki ya kibinadam, na wanadai kuwa iweje utumie haki ya mtu ya kuishi kudai haki yako? Kwa hari hiyo madaktari hawawatendei haki watanzania na wanawataka warudi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Source: Gifts to Federal Employees From Foreign Government Sources Reported to Employing Agencies in Calendar Year 2008 First Family......................... Eight East African Mr...
0 Reactions
1 Replies
860 Views
Hii nilitaka kuiposti kule Jamii Inteligence nikidhani ni theories za kiinteligensia, nikagundua kumbe kule huwezi kuposti mpaka kwa kibali cha mode, hivyo nimeileta huku jukwaa huru ambalo...
5 Reactions
212 Replies
18K Views
Bila shaka hakuna asiyetambua jinsi mambo yanavyokwenda ndani ya nchi hii, taarifa za migomo ya madactari ya mara kwa mara, migomo ya waalimu, malalamiko ya ugumu wa maisha kwa wananchi, ufisada...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
habarini wana jf, nimesikitishwa sana na jinsi wapinzani au vyama vya upinzani ulivyo ihendo ishu ya dr ulimboka, i'm very sad,huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu zen hawa jamaa (wanaishia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dadaetu kipenzi rahma msuya wa accounts precissoin ametutoka muda si mrefu mchana huu..mungu amlaze mahali pema peponi bwana ametoa bwana ametwaa polen ndugu zetu wa precission mungu awape nguvu...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Katika taarifa ya habari Itv usiku huu, saa 2 wametangaza habari ya mwanamke mmoja aliyeporwa mtoto wake wa miezi minne na ndugu wa mume wake aliyepo nje ya nchi kwa sasa. Uporaji wa mtoto huyo...
3 Reactions
62 Replies
5K Views
Wengi mnaopita hapa jamii Forum bila shaka hamjawahi kuishi vijijini mkajionea wenyewe jinsi maisha ya WALIMU yalivyo. Pia hamjawahi kufanya uchunguzi juu ya ugumu wa Maisha katika Kada nyingine...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom