kibonde afiwa na ndugu yake mwananyamala hospital

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
kuna habari kuwa ndugu wa karibu wa mtangazaji maarufu bw efraim kibonde amefariki dunia katika hospitali ya mwananyamala.
pole sana KIBONDE na mungu akupe nguvu
 
Amekufa wakati mzuri sana wa mgomo wa madaktari maana huwa anawakandia sana wakati walimuokoa kipindi kile mambo yalikuwa magumu!!!! Yaani wewe unatukana wakunga uzazi unagalipo? Tushukuru Mungu kwa madaktari na madawa!!!
 
Sasa ndipo ataweza kutofautisha umuhimu wa kada ya afya na kule kubwabwaja kwake, amekuwa mfuasi wa serikali ya magamba kwa muda mrefu
 
Marehemu Mwenyenzi Mungu amlaze mahala pema peponi!

Ila Efrahim Kibonde ni mzigo kwa Taifa!
 
  • Thanks
Reactions: tz1
the superster kibonde.ndugu yangu wherever u a,mind u that jamii forum we ni staa baada ya JK.
 
kuna habari kuwa ndugu wa karibu wa mtangazaji maarufu bw efraim kibonde amefariki dunia katika hospitali ya mwananyamala.
pole sana KIBONDE na mungu akupe nguvu
sio siri hizi thread zingine mnazoanzisha kuhusu EK hazina mana kabisa.au mnamkampenia apewe japo ukuu wa wilaya!!.
 
Naungana Efraim Kibonde kwa msiba alioupata, nimemsikia mwenyewe radion Clouds saa kumi na moja jioni leo....walianzia Kibaha akafia kwa Dr.Mvungi na mwananyamala ni kumhifadhi marehemu. Jamani uhai ni tunu yetu sote basi asiwepo wa kumdhulumu mwenziwake jamani..... Angalia walimchomfanyia Dkt.\masau wamefungia kila kitu jengoni pale Leaders.....taarifa za wagonnjwa wote mali zote kwa maana ya mitambo ya kitabibu kisa mgogoro wao na NSSF nini hatima ya wananchi kwa hiyo unaweza ona hata madaktari wanayo hoja kama ilivo serikali ila hakuna kati yao mwenye haki kudhulumu uhai wetu hilo lieleweke
 
Kumbe kubwabwaja kooooooote bado akiugua anatuletea sisi wenyewe, nilifikri watamsaidia aende India kumbe ni mwenzetu tu, daah.
 
the superster kibonde.ndugu yangu wherever u a,mind u that jamii forum we ni staa baada ya JK.

kaka unampoteza sana huyo jamaa.kwa umaarufu kunuka alionao?kumbuka aliwaponda sana madaktali ule mgomo wa kwanza sasa leo lipo kwake pole mnyakyusa poli.
 
dah!pole sana kibonde.naomba usibwabwaje na kuhusianisha mgomo na kifo hicho.

RIP Ndugu wa kibonde
 
Naungana Efraim Kibonde kwa msiba alioupata, nimemsikia mwenyewe radion Clouds saa kumi na moja jioni leo....walianzia Kibaha akafia kwa Dr.Mvungi na mwananyamala ni kumhifadhi marehemu. Jamani uhai ni tunu yetu sote basi asiwepo wa kumdhulumu mwenziwake jamani..... Angalia walimchomfanyia Dkt.\masau wamefungia kila kitu jengoni pale Leaders.....taarifa za wagonnjwa wote mali zote kwa maana ya mitambo ya kitabibu kisa mgogoro wao na NSSF nini hatima ya wananchi kwa hiyo unaweza ona hata madaktari wanayo hoja kama ilivo serikali ila hakuna kati yao mwenye haki kudhulumu uhai wetu hilo lieleweke

Jamani hii habari ya dokta masau ni mpya kwangu yaani ule mgogoro ulifikia huku? Kama kuna uzi wake nipeni link niupitie jama
 
huyu dr alianza kubania safari za india unategemea serikali impende?
 
Back
Top Bottom