Ujio wa madaktar wapya fursa mpya kwa WATANZANIA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujio wa madaktar wapya fursa mpya kwa WATANZANIA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Jul 1, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Jana zilizagaa habar kuwa kuna madaktar wapya wataletwa,kama serikali ndo imefikiria hivyo,nahis ujio wa hao madaktar wapya utaleta ajira kwa kada mbalimbali za watanzania,kwanza wataalam wa lugha nao wataajiriwa,kama watakuja wahindi(basi wanaojua kihindi wataajiriwa kuwa wakalimani),madereva watapata ajira,maana sidhan kama hawa madaktar wapya watapanda daladala na kusimama kutokea wanapoish(let say mbagala) kwenda kazini,au kwa mikoani mfano dodoma kutoka chang'ombe kwenda general hospital,pia kwakua serikali haina nyumba,basi wenye nyumba (hata huku kwetu vingunguti) watajipatia pesa kwa kuwapangisha madaktar wa kutoka cuba na kwingineko,hivyo basi wenyenyumba watapata kipato,polisi nao wataongezeka kwa ajili ya kuwalinda madaktar wa kichina ambao inasemekana wataletwa,,,,,,
  NGOJA TUSUBIR HIYO PLAN B
   
 2. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Afadhali waje, tupunguze kutoa rushwa!
   
 3. nyaucho

  nyaucho Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jomba ckubaliani na hayo mawazo yako kbsa coz unatakiwa uwe mzalendo, fikiria hawa madaktari wakibongo watafanya nn kama wataletwa madktar kuktoka nje kuja kuwa replace. pia hizo ela za kuwalipa hao madaktar pamoja na madereva, kuwapangishia nyumba, na hao wakalimani unaodai zingetosha kumaliza kero ya hawa madaktar waliogoma.
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Natamani ingekuwa Jan 2015!kueleekea uchaguzi......
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mdau umeuelewa uzi unavotiririka???hebu rudia
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  utatoa kwa wakalimani
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  utatoa kwa wakalimaniiii
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  unanidhihirishia kua wepes wa kusahau????
   
 9. J

  John W. Mlacha Verified User

  #9
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Waliogoma itabidi wachangamkie hizo ajira zingine kama udereva ulinzi etc
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  madereva watatoka nit-mabiboooo
   
 11. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280

  Ngoja mikarabati nyumba yangu niipangishe kwa dola!
   
 12. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #12
  Jul 1, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  tunaojua kichina ngoja tuanze kujifua kuwa wakalimani,inaweza ikawa fursa kwa sababu tutawapangisha nyumba
   
 13. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Afadhali mkuu uliona hili. Naamini hao madaktari wakija pia tutapata huduma nzuri, bila nyodo, bila ubabaishaji kama ilivyo sasa. Ukitaka kuhakikisha ninayosema nenda Sewa Haji hata leo uongee/uwaulize wagonjwa wenyewe.
   
 14. C

  Chal Senior Member

  #14
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ujio wa madaktari wapya "kama wataletwa" utatoa sura mpya kabisa ya mgomo kwani na hao wapya watatangaza mgomo wao wakidai kuboreshewa vifaa vya kutolea tiba...kwani huko kwao mazingira ya kazi ni mazuri zaidi
   
 15. k

  kigogo2011 Member

  #15
  Jul 1, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watanzania wanateseka kwa sababu ya mgomo! ila walikuwa wanateseka zaidi bila mgomo kwa sababu mahospitalini hamna vifaa vya uchunguzi! wagonjwa wengi wanakufa bila hata ya kugundua tatizo/ugonjwa anaoumwa na pengine hata kama tatizo/ugonjwa ukijulikana dawa hamna! kwa hiyo ni taabu kweli kweli! hali kwenye sekta ya afya ni mbaya! heri yako ambaye haujawahi kuugua au kuuguza maana ungebeba bango na kuanza kuamdamana njiani!
  Jiulize tu kanda ya ziwa yenye population isiyopungua 10m, hamna mashine ya kuosha damu kwa wagonjwa wenye matatizo ya figo! ni wagonjwa wangapi wanakufa kila siku kwa kukosa hiyo huduma.
   
 16. D

  Doctorbeat Member

  #16
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  PLAN B= zero
   
 17. D

  Doctorbeat Member

  #17
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Plan B = Zero result
   
Loading...