wageni ni zaidi ya wa Tz! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wageni ni zaidi ya wa Tz!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lord K, Jul 1, 2012.

 1. Lord K

  Lord K JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Juzi juzi walivamiwa watalii bahati mbaya wengine waliuawa na kuibiwa..kilichotokea serikali ilitoa helkopta na mkuu wa operation wa polisi wakasaka mtaa kwa mtaa na kuwapata baadhi ya wahalifu.,Dr ulimboka ametekwa, amesulubiswa na kufanyiwa unyama mkubwa..serikali inaita waandishi wa habari na kusema haihusiki alafu basi.badae tume eti imeundwa, Watanzania tume na waandishi..kwa wageni mawaziri,helkopta na wakuu wa vitengo. Akili ku mkichwa.
   
 2. D

  Doctorbeat Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kesi ya nyani kapelekewa Timbuli. Unategemea nini mkuu ?
   
Loading...