Cartoon: Madaktari Wastaafu warudishwa kazini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cartoon: Madaktari Wastaafu warudishwa kazini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Umslpogaaz, Jun 30, 2012.

 1. Umslpogaaz

  Umslpogaaz Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 14, 2008
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Drs. Wastaafu.jpg
  Madaktari wastaafu waamriwa kurudi kazini,
   
 2. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,444
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Du! Wengine hawawezi tembea wenyewe mpaka na fimbo na mtu wa kumtembeza!
   
 3. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  "La mama likivia la mbwa linafaa" na "mbwa amerudia matapishi yake" acha warudi tuone kama hawatatuua zaidi.
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,118
  Trophy Points: 280
  Ndio mwanzo wa kupasuliwa testicles badala ya tonsezi, mie simo
   
 5. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawa ndio safi sana,hawa wauwaji wenye uchu na pesa kuliko roho ya mwananchi mwenzao bora walivyogoma,mulishauwa wengi sana sana,bora mulivyogoma mungewamaliza watanzania wenye masha ya chini.
  nina kumbukumbu nyingi nikifungua file za hawa wanaojiita madactari lakini ukweli ni wana tamaaa ya pesa kuliko wezi,roho inachafuka sana!
   
 6. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Wapi prof shaba the pathologist jamani.?
   
 7. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Duuuuh katuni ile nimeipenda sana.
   
 8. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Liwalo na liwe
   
 9. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hapo wanajutia uamuzi wao sasa..
   
 10. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Halafu hivyo vi-dr vizee vigonjwa haviwezi kusimama thietre muda mrefu vitakufa muda si wao kotokana na njaa zao. This is not solution at all. Vijana ma-dr kazeni buti mabadliko yaja. wananchi tuko pamoja nanyi.
   
 11. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  Juzi kwenye marekebisho ya JF,nilitamani sana kitufe cha like kionekane kwa wanaotumia longalonga ya mkononi lakini ndio hivyo wakuu wametutenga.

  Nimeipenda sana Katuni hii!

  Ngoja tuone faida ya hili neno "LIWALO na LIWE"
   
 12. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #12
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,604
  Trophy Points: 280
  LIWALO na LIWE"
   
Loading...