upinzani vs Dr ulimoka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

upinzani vs Dr ulimoka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by chelsea fc, Jun 30, 2012.

 1. chelsea fc

  chelsea fc JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 835
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  habarini wana jf,
  nimesikitishwa sana na jinsi wapinzani au vyama vya upinzani ulivyo ihendo ishu ya dr ulimboka, i'm very sad,huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu zen hawa jamaa (wanaishia kutoa matamko tu) a they seriouz kweli,nilitarajia kuona watu tunaingia mabarabarani,zen waziri wa mambo ya ndani,IGP mwema na wengine (dhaifuz) wote wana achia ofisi zao (wajiuzulu au kufutwa kazi) haya tutaona mwisho wake.

  au mnasemaje wakereketwa,km we dhaifu don't comment pls!!! [​IMG][​IMG][​IMG]
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kwani movement ni lazma zianzishwe na wapizani tuu?
  "Be a change which u wish to see in this World"
   
 3. Kamende

  Kamende JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 1, 2008
  Messages: 415
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hili ni moja tu ya mapendekezo mengi yanayoweza kutolewa kama njia ya watanzania kuunga mkono mission ya Dr. Steve Ulimboka na kuisaidia iwe na matokeo chanya.

  Hoja yako inaonyesha kwamba unaamini kwenye kuviona vyama vya upinzani peke yake vikifanya kazi ya kuibana serikali. Nachelea kusema kuwa ndugu yangu msimamo wako unathibitisha kwamba wewe ni mvivu kidogo. Inaonyesha kwamba hujiamini kwamba wewe mwenyewe una nafasi ya kuchukua hatua bila kumsubiri mwingine yeyote kuhakikisha kwamba unaibana serikali vilivyo.
  Hata hivyo vyama vya upinzani hasa CHADEMA vimerudi nyuma kidogo kuepuka kufanya mgogoro huu kuonekana kuwa wa kisiasa.
   
 4. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  yaan ww ukae tu alaf sie tuandamane, mi nafikir ww na mm tuunganishe nguvu tulianzishe
   
Loading...