Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Heshima yenu wakuu. Nina shida ya kupata mkopo lakini nimekosa sifa ya kupata katika benki zetu. Benki ya NMB mshahara wangu haupiti huko hivyo nimekosa sifa, CRDB ambako ndiko mshahara wangu...
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Ikumbukwe kuwa taarifa ya Serikali kuagiza madaktari kutoka nje imekuja huku Jumuia ya Madaktari Nchini wakiwa wameitisha mgomo wa madaktari nchi nzima unaoingia siku ya kumi sasa ili kuishinikiza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
sisi ni great thinkers km tunavyojipachika wenyewe haya majina.sasa basi mwenzenu naombeni mnijuze tofauti iliyopo kati ya FISADI anayefilisi nchi na kutuacha masikini na DAKTARI anayegoma na...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ndugu mtakumbuka taarifa iliyokanushwa kwa 'kigogo' mmoja kufumaniwa na mke wa mtu. Leo tarehe 26 mwanamke huyo aliyefumaniwa na 'kigogo' huyo amefikishwa mahakamani kwa kufumaniwa bila mwanaume...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
sasa watanzania hawataki mzahaa tena,huyo ni mama mwenye mguu wa kuku tayari kupambana na watekaji popote pale
1 Reactions
11 Replies
1K Views
ninatoa ombi kwa wanawapenda amani na wasiotayari kuvumilia manyanyaso ya watu wasio na hatia, tujiunge pamoja kwa mapanga,mafyekeo na majembe tuufyeke msitu wa PANDE. Tuwahimize ndugu zetu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Baada ya mauaji ya kutisha kwa watu wenye ulemavu wa ngozi(Albino) yaliyoshika kazi zaidi katika kanda ya ziwa mwishoni mwa mwaka 2008sasa vitendo vya kikatili kama hivyo vimeamia kwa vikongwe...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
WanaJF naomba tuweke tofauti pembeni Mimi professional yangu ni kutoa huduma ya afya kwa jamii hiki kitendo cha serikali kufanya unyama kwa mwantahaluma mwanzangu kimeniuma sana na sasahivi...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Habari zenu wana jamii, nimetafakari sana na kutaka kudadisi na kuufahamu huu msitu wa PANDE. Mara ya kwanza nilianza kuusikia huu msitu pale ambapo polisi waliwamiminia risasi za visogo wafanya...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
WAKATI Serikali ikilalamika kuwa uwezo wa wananchi wake wengi kufanya kazi unapungua, imebainika kuwa idadi kubwa ya watu wanafanya kazi na kutembea, wakiwa wamelewa. Uchunguzi wa Mwananchi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Serikali imeidhinisha kuanzishwa kwa Mamlaka ya Uendelezaji Mji wa Kigamboni pamoja na kutenga fedha za kutosha kuwalipa fidia wakazi wa mji huo watakao hamishwa na wale wa kurasini ambao maeneo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam wana Jamvi! Jana jioni majira ya saa 11, Ma Padri watatu wa kanisa katoliki walipata wakati mgumu baada kukuta kizuizi barabarani wakati wakirudi toka Sehemu ijulikanayo kama kata ya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu. Najiuliza maswali mengi nakoswa majibu nalileta kwenu labda mwaweza nisaidia kupata majibu. Hivi serikali itaendelea kuwatwisha wananchi mizigo hii mizito hadi lini...
0 Reactions
0 Replies
938 Views
Athumani Mlegeza Na Festo Polea WASWAHILI husema kazi ni kazi! Wengine husema kazi nzuri ni ile iliyouwezesha mkono kwenda kinywani. Lakini, kwa bahati mbaya, baadhi ya wanajamii hasa wa siku...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Hakuna asiyejua yaliyompata mpigania haki Dr Ulimboka, japo serikali inajitahidi kukana kuhusika na utekaji na mateso aliyotendewa Dr. Ulimboka lakina kunaviashilia vingi vinavyoonyesha uhusika wa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu nimekaa nkatafakari nkaona hali ya nchi ni tete, binafsi najiuliza 1. Balozi za mataifa nchini wanayaona haya yanayoendelea hapa nchini¿ ? 2. UN representatives wapo kweli nchini hali...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
TTB yatumia mitandao ya kijamii kukosa taarifa zisizo sahihi za Qatar Airways
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama unge bahati kuingia mawazo mwa mkuu wa kaya unafikiri ungekutana na mawazo gani aliyo nayo juu ya mgomo wa madactari na yaliyomkuta Dr. Ulimboka?
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Poleni kwa majuku ndugu zangu! Naomba kuuliza, je bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Wizara iliyo chini ya Dr Shukuru Kawambwa itajadiliwa lini Bungeni? Nahitaji kuifuatilia ili kujua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dhaifu na liwalo na liwe watufikisha hapatangia tupate uhuru hatujapata serikali dhaifu kama hii ambayo rais hatoi tamko kutokana na hali tete alifanikiwa kwenda msibani kwa kanumba lakini steven...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom