Mzawa wa Zanzibar ni nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzawa wa Zanzibar ni nani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by i pad3, Jun 4, 2012.

 1. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nataka kujua kuwa mzawa wa Zanzibar ni nani na asili yake ..kwani hawa wenye uzawa wa kiarabu ni wakuja tu ...sasa je ni nani ni mzawa wa Zanzibar?
   
 2. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  huwezi ukaniambia kuwa huyu ni mzawa nikakubaliana na wewe
  img_7251.jpg huyu ni mzawa wa uarabuni kwa hiyo pale Zanzibar ni mgeni ..sasa mzawa wa pale ni nani?(asili)
   
 3. A

  August JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  kuna tu ameuliza jirani yake ni nani maili 22 kwenda bara au maili elfu, sawa sawa na falksland island na argentina dhidi ya uingereza
   
 4. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,296
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Asilimia 99 asili ya waznz ni Tanganyika, Walichukuliwa kwenda kuwatumikia waarabu enzi za utumwa, lakini nashangaa wanapenda sana kujiona asili yao ni waarabu.... wanakataa asili yao, wanawakataa hata ndugu zao Wa-Tanganyika.
   
 5. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kwai hao waarabu wanawataka?
   
 6. A

  August JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  Karume asili yake kigoma, mwinyi asli yake mkuranga, hassan nassoro moyo mngoni, jumbe kama sio mdengereko basi mngoni , moulidina kastiko mzulu,
   
 7. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nishawahi kuwasikia wakilalamika kuwa watu wa bara ndio wamezamia kule na kuwa marais ..sasa nataka nijue wao ni kina nani na asili yao...
   
 8. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #8
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,296
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  waarabu wanakitamani kisiwa cha zanzbar to siku walipokipoteza toka mikononi mwa KARUME hawajakisahau, wanatamani kurudi znz.

  Waarabu wanakitaka kisiwa hicho lakini sina uhakika kama wanawataka waznz.
   
 9. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #9
  Jun 4, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ina maana waarabu wakirudi pale kisiwani wataanza kuwabagua wazanzibar?:A S cry:
   
 10. S

  SinaChama Senior Member

  #10
  Jun 4, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 105
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Bila kuongea maneno mengi, mtu asilia wa zanzibar ni mwafrika mweusi. Japo kwa kusema hivyo sina maana kwamba mwafrika mweupe hana asili ya Zanzibar, ambacho nataka kieleweke nikwamba itanishangaza kama Muarabu au Muhindi atajisikia Mzanzibari zaidi kuzidi Mnyamwezi au Myasa aliyekuwepo kwa miaka mingi kisiwani hapo pia. Historia ambayo imeandikwa na watu waliomkandamiza mtu mweuzi kwa miaka mingi haikusita kuonesha kwamba mtu mweusi aliishi pale kabla hata ya utumwa. Walikuwa na miji yao na tawala zao kama utawala wa Mwinyi Mkuu ambaye ndiye aliyekutwa mji mkongwe (Stone Town kama ilivyo maarufu leo).
  Waarabu wanaonekana walifika mapema zaidi kwaajili ya biashara na ndio waliokuwa wakimiliki pwani yote ya Afrika Mashariki kwa mujibu wa ugawanaji waliofanya huko Berlin, waarabu pia hawawezi kujiondoa kwenye lawama ya biashara chafu ya kuwauza watumwa na hivyo kujipatia mapesa tele kwa njia hiyo ya unyanganyi, wemeendesha biashara ya utumwa na kueneza imani ya uislamu ambayo kuna maandishi yanaonesha njia za nguvu zilitumika. Wame wakandamiza waafrika weusi kwa miaka mingi, kwa kuwauza kama watumwa na kuwatumikisha katika mashamba na shughuli zao nyingi kwa kuwalipa ujira mdogo. Faida iliyopatikana ilitumika kujenga majumba ya kifahari yanayoonekana leo hii Mji mkongwe ambayo walikuwa wakiishi wao na wahindi wafanya biashara mpaka mwaka 1964 waafrika walipochoka na kufanya mapinduzi wakiongozwa na Marehemu karume. Sasa wanataka kurudi tena kupitia kwa wajomba zao, na ndugu zao waliobaki huko Pemba sana sana, japo na unguja wapo kidogo.
  Maelezo ni marefu sana kwa kweli, lakini nitakwenda moja kwa moja katika point ili nifikishe ujumbe bila kuchosha msomaji.
  Kwanza tuanze kwa maana ya neno Zanzibar.
  Zanzibar ni muunganiko ma maneno mawili ya kiarabu Zangi + bar (Zangibar) Zangi = mtu mweusi, na bar = pwani. Kwahiyo waarabu walipofika pwani hiyo ya Afrika mashariki waliwakuta watu weusi wana kaa pale, na wakapaita pwani ya watu weusi. Nadhani jibu mmeshalipata.
  Waarabu waliwakuta wareno Zanzibar, na makanisa yalikuwepo pia. Ngome kongwe maarufu sana leo hii, ilijengwa na Wareno. Na katika hiyo ngome kongwe kulikuwa na kanisa ambalo lilibomolewa na waarabu.
  Kabla sijaondoka kwenye point, nadhani nimesha jibu swali linalouliza mzawa wa Zanzibar ni nani? Kama mtataka niendelee kumwaga historia hii tamu zaidi niambieni.

  Je Ni Kweli Wakristu Wametokea Bara?


  Wakristu walikuwepo Zanzibar hata kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kuna wakristu waliotokana na Mreno , na kuna wakristu waliotokana na kazi za kimisionari baada ya utumwa kupigwa marufuku.
  Katika vitabu vya historia vinaonesha kwamba Mreno alikaa Zanzibar kabla ya Muarabu. Wareno walikuwa ni wakristu, na walijenga makanisa Zanzibar pamoja na Mombasa. Wamishenari wa ki Franciscan wenye asili ya ureno wali kaa Zanzibar miaka ya 1505 na kuna ushahidi. Kwa bahati mbaya waliondoka baada ya kushindwa vita kwa mreno dhidi ya muarabu mwaka 1513. Na wakati huo pwani hizi za Afrika Mashariki ikiwemo Mombasa zilikuwa zikitawaliwa na Mreno.

  Kipindi hicho kulikuwa hakuna mipaka ya kisiasa iliyokuwa ikionesha nchi ya Tanganyika na pia katika Afrika mashariki yote kulikuwa hakuna mipaka kama tunavyoijua leo.
  kulikuwa hakuna nchi, bali maeneo mbalimbali ya makabila. Kila kabila likiongozwa na kiongozi viongozi wao waliokuwa wanaitwa Machifu. Baada ya Mreno Kushindwa vita ukanda wa pwani ulitwaliwa na Muarabu.

  Baada ya Muarabu kutawala Zanzibar uislamu ulienezwa.
  Sultan Sayyid Said ambaye alikuwa akitawala Oman ilipofika mwaka 1832 aliamishia makao yake makuu kuwa Zanzibar. Sultan huyu ndiye aliyeanzisha zao la Karafuu Zanzibar na kuendeleza nchi ya Zanzibar kuwa maarufu kisiasa na kiuchumi Afrika Mashariki. Moja ya mapato yake makubwa yakitokana na kuuza waafrika nchi za Ulaya na Amerika.
  Biashara hii ilipigwa marufuku na kisha soko la mkunazini lililokuwa likitumiwa kuuza watumwa likanunuliwa na kanisa la Anglican na watumwa waliokuwa wamenunuliwa wakafanywa wakristu. Kanisa la Anglican lilianzia hapo na watumwa hao wakawa wakristu wa kwanza wa kanisa.
   
 11. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mkuu wetu SinaChama asante kwa ufafanuzi mfui na wenye kueleweka..nimekupata sawia ..tunakuomba utuletee kila kitu kuhusu asilia ya hawa jamaa na hali halisi ilivyo. naanza kufumbuka macho taratibu
   
 12. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #12
  Jun 4, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Hii inamaanisha Waarabu walikuwepo mwanzo kwenye visiwa hivyo kabla ya Watanganyika?
   
 13. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #13
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,296
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  wazanz weusi walibaguliwa sana wakati muarabu hajaondoka, waarabu walioa dada zetu kwa nguvu, si unajua muarabu yeye ruksa kumuoa dadako lakini dhambi kumuoa dada yake!

  Wakirudi kuwabagua wazazn weusi kutaendelea labda kutapungua tu sababu ni karne nyingine, but sidhani hawatawabagua kabisa.
   
 14. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #14
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,296
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  ndio hapo chahcha cha kujiuliza, wao kutamani uarabu zaidi kuliko uasili yao.
   
 15. mluga

  mluga JF-Expert Member

  #15
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 678
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hapana Karume ni mmalawi huyo, na Shein je?
   
 16. m

  magohe JF-Expert Member

  #16
  Jun 4, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ni ufinyu wa fikra na mawazo mgando tuliyonayo sisi baadhi yetu watu weusi.Kwani mambo hayo ya kimapokeo ndo yamekuwa dira na mwelekeo wa watu hao kudhani kuishi kwao hakutengamani na fujo,ghasia,ubaguzi, uhasama na hila chafu kama ilivyokuwa kwa baadhi ya ujio wa mapokeo hayo.Hebu ifikie hatua tujue kuwa akili ya kuambiwa ichanganye na yako.Cauz most of da elites do believe in some of da spectacular notions that,"The best servant of man/woman is a man or woman".So, u like many other mankind got to cogitate and act in accordance to what other might learn from u and leave an outstanding legacy to ua oncoming generations rather than being driven like an ox!!! I'm very much proud of u cauz u do let people learn from unknown to known with regard to their levels of understanding.bravooo guy!!!!!
   
 17. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #17
  Jun 4, 2012
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  There is a big structural problem.

  Remember all black in Zanzibar were Watwanas and all Arabs were Waungwanas.
  Only Waungwana men were allowed to marry Watwanas women the opposite was not allowed.
  Meaning no Mtwana man married Muungwana woman.
  All mixed race of Mtwana and Muungwana in Zanzibar is between Muungwana (Father) and Mtwana ( Mother)
  rarely there is mixed race between Mtwana (Father) and Muungwana ( mother).

  Who will allow you to piga those long face and slender arab girls with your black mpini?

  This is why all people with here and there arab touches tend to say they are not Weusi they are Arabs, meaning the generation on the side of their fathers were Arab and their Moms were black of Zanzibar.

  The thing they dont know is, if they happen to go back to Arabia and claim they are Arabs they will be amazed by the reaction of their uncles who will claim that once you mix your blood with Mtwana you are not an Arab any more.

  good luck
   
 18. Z

  ZIGZAG Member

  #18
  Jun 4, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watanganyika walichukuliwa kwenda kutumikia waarabu.
   
 19. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #19
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Zanzibar = Land of Black People. Kinyume chake inaonekana Waarabu ndio Wazanzibari zaidi kuliko weusi!
   
 20. Elisha Ray

  Elisha Ray JF-Expert Member

  #20
  Jun 4, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 302
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sio tu kuwabagua bali kuwatumikisha!!!
   
Loading...