Hivi Kikwete atadhubutu kupeleka sura yake Marekani na Ulaya na hii kashfa ya unafiki wake na Iran? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Kikwete atadhubutu kupeleka sura yake Marekani na Ulaya na hii kashfa ya unafiki wake na Iran?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chaimaharage, Jul 1, 2012.

 1. Chaimaharage

  Chaimaharage JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu Kikwete amekuwa akienda Washington na kukaa na viongozi wa Marekani na kufanya maongezi nao kiasi kuahidiwa mambo kibao. Tulipo lalamika kuhusu safari zake kule na kwingineko tukajibiwa kuwa ana kwenda kuomba misaada ili itunufaishe na pia kuleta wawekezaji. Mbele zao aliaminika na kuonekana mshirika wao. Sasa na hii kashfa ya unafiki kwa kuwa mshirika wa Iran kweli Obama atatamani tena kukaa meza moja naye wakiwemo viongozi wengine wa Ulaya? hivi atajitetea kuwa hakuwa na taarifa hizo? make yeye inaonekana mambo mengi ya nchi hii hayajui kama alivyowahi kusema huko nyuma kuwa hajui kwa nini tuko maskini. Nakuapieni akikanusha kuwa hajui itakuwa bonge la aibu kubwa kwa taifa(disgrace) kwamba Raisi mambo yanafanyika nchini kwake hajui? Ukweli anaweza kuwa hajui lakini hawato muamini.

  Kwa upande mwingine nafurahia tukio hili sababu hakuna kiongozi wa Ulaya wala wa Marekani atakubali kukaa meza moja naye na kuongea masuala tofauti ya kiuchumi na kidiplomasia. Tayari amekwisha onekana msaliti kwao na ninavyo wafahamu wenzetu wazungu kama ukimfanyia jambo baya hata yale mazuri yote ya nyuma anafuta. Hata ujitahidi vipi kujisafisha there is no room for that kwao. Tofauti na sisi ngozi nyeusi mnaombana msamaha yana kwisha, wao halitoki moyoni. Kwa hili naona sasa ndio kikomo cha safari labda aende tu kwa ajili ya shopping zake. Napo wanaweza kumkatalia wakijua anakwenda kuwapeleleza ili apeleke taarifa kwa Iran. Ndugu zangu hili siyo suala dogo yani JK amejichafua mno!

  Zaidi naona kwenye tukio hili kuna harufu ya ufisadi MKUBWA sababu inaonekana faida inayopatikana baada ya Iran kuuza mafuta hao viongozi walio kubali bendera yetu itumike wanapewa mgao wao. Kwa sababu katika nchi hii kila mtu hajali madhara yanayoweza kuipata nchi ni ubinafsi tu unashika kasi. Viongozi wa aina hii lazima wang'olewe hata kabla mambo hayajakuwa mabaya zaidi. Bunge tusaidieni na "vote of no confidence to JK"
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hanaga aibu huyu ni kama nduli tu!


  Lakini safari hii ataona America & Ulaya ni kitanzi kwake!

  Ngoja na tumsikilizie!
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Halafu Kiongozi mkubwa wa nchi anaenda kufungua hospital kubwa yenye vifaa vya kisasa vya kung'olea meno ,kucha na roho Kama makoleo huko kwenye msitu wa mabwepande bila kutuambia sisi wananchi wake ? hii ni hatari sana
   
 4. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  napita tu....:sleepy::sleepy:
   
 5. Chaimaharage

  Chaimaharage JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu Vasco Da Gama amekuwa akienda Washington na kukaa na viongozi wa Marekani na kufanya maongezi nao kiasi cha kuahidiwa mambo kibao. Tulipo lalamika kuhusu safari zake kule na kwingineko tukajibiwa kuwa ana kwenda kuomba misaada ili itunufaishe na pia kuleta wawekezaji. Mbele zao aliaminika na kuonekana mshirika wao. Sasa na hii kashfa ya unafiki kwa kuwa mshirika wa Iran hivi kweli Obama atatamani tena kukaa meza moja naye wakiwemo viongozi wengine wa Ulaya? Je, atajitetea kuwa hakuwa na taarifa hizo? make yeye inaonekana mambo mengi ya nchi hii hayajui kama alivyowahi kusema huko nyuma kuwa hajui kwa nini tuko maskini. Nakuapieni akikanusha kuwa hajui itakuwa bonge la aibu kubwa kwa taifa(disgrace) kwamba Raisi mambo yanafanyika nchini kwake hajui? Lakini kweli anaweza akawa hakujua lakini hawato muamini.

  Kwa upande mwingine nafurahia tukio hili sababu hakuna kiongozi wa Ulaya wala wa Marekani atakubali kukaa meza moja naye na kuongea masuala tofauti ya kiuchumi na kidiplomasia. Tayari amekwisha onekana msaliti kwao na ninavyo wafahamu wenzetu wazungu kama ukimfanyia jambo baya hata yale mazuri yote ya nyuma anafuta. Hata ujitahidi vipi kujisafisha there is no room for that kwao. Tofauti na sisi ngozi nyeusi mnaombana msamaha yana kwisha, wao halitoki moyoni. Kwa hili naona sasa ndio kikomo cha safari labda aende tu kwa ajili ya shopping zake. Napo wanaweza kumkatalia wakijua anakwenda kuwapeleleza ili apeleke taarifa kwa Iran. Ndugu zangu hili siyo suala dogo yani DHAIFU amejichafua mno!

  Zaidi naona kwenye tukio hili kuna harufu ya ufisadi MKUBWA sababu inaonekana faida inayopatikana baada ya Iran kuuza mafuta hao viongozi walio kubali bendera yetu itumike wanapewa mgao wao. Kwa sababu katika nchi hii kila mtu hajali madhara yanayoweza kuipata nchi ni ubinafsi tu unashika kasi. Viongozi wa aina hii lazima wang'olewe hata kabla mambo hayajawa mabaya zaidi. Bunge tusaidieni this DHAIFU deserve a "vote of no confidence"
   
 6. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,681
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Serikali take Si dhaifu ni ya KIHUNI
   
 7. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kikwete anajua kila kitu. Alikwishapokea rushwa kutoka kwa makamu wa kwanza wa rais wa Iran Mohammad Rahim alipoitembelea Tanzania tarehe 30/5/2012. Alikwishaiuza Tanzania!!!

  Na miongoni mwa mambo mengi ya siri waliyoongelea si kuhusu kutumia bendera ya Tanzania tu lakini pia ni maswala ya kidini (Uamsho na Mahakama ya kadhi). Poleni watanzania!!

  [​IMG]
   
 8. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Huyu Jamaa kwani ana Aibu! Utamuona na kina Lady gaga muda si mrefu. Chezea mkareee(P.Unit) wa bagamoyo weee!
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,302
  Likes Received: 22,103
  Trophy Points: 280
  Freemason

  [​IMG]
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Wana aibu kwani hao?
   
 11. King2

  King2 JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Obama ataongea nini na Kikwete.
   
 12. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #12
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,096
  Likes Received: 1,714
  Trophy Points: 280
  Kama ni kweli, basi kazi tunayo!
   
 13. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  :israel:Dada huyoooh kesha olewaa, dada huyoooh ashaolewa maali ishaa tolewaa maali ishatolewaa......................................:israel:

   
 14. U

  Uswe JF-Expert Member

  #14
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  akitoa kaauli kuhusu hili nakupa mshahara wangu wa miezi sita! sasa unajibu ni ni hapo?
   
 15. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #15
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Hata mwanamke malaya akianza tu kuchukua hela kwa wanaume hovyo hovyo bila kuwa smart ndo mwanzo wa matatizo, huku anataka na huku anataka halafu uroda anatoa wa kumridhisha mmoja. Balaa kubwa la njaa linawanyemelea wabongo, uliza Zimbabwe njaa imeweka kambi toka wagombane na Marekani na EU
   
 16. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #16
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Wakwele hawana aibu, wanauza kiwanja kwenda kumcheza ngoma mtoto. Sa unategemea nin apo
   
 17. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #17
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  Safari hii JK amekalia kuti kavu.
  Ameamua kushindana na madaktari nakusahau washirika wake wakubwa.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 18. a

  adolay JF-Expert Member

  #18
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,567
  Likes Received: 3,026
  Trophy Points: 280
  LAANA NI MATOKEO YAMPATAYO JK KWA KUUONESHA ULIMWENGU YAKUWA MUNGU HADHIAKIWI. Mengi yagizan aliyoyafanya Jk yataonekana hadharan, atafedheheka, ataaibika na mwisho itakuwa kilio na kusaga meno.
  Badhi ya mambo yatakayo mtesa JK ni :-
  1. Dhambi ya ubaguzi wa din, muasisi wa kauli mbiu hii na
  kuifadhili. Watanzania hapo kabla hawakubaguana kwa iman zao, ubaguzi ni zao la JK ona
  Ya ponda na uamsho.
  2. Richmond, hakika nakwambien yeye pia ni mmojawapo. Rejea kauli ya mwakyembe'yapo makubwa zaid ya haya, hatutayasema kuilinda selika isianguke.

  3. Ikulu kutumia vibaya vyombo vya usalama.
  Mauji, utekaji, utesaji na manyanyaso kwa raia (tandahimba, arusha, tabora, mwanza, mbeya, mara nk) upinzan kubambikiwa kesi nk
  Mipango hii itakuwa hadharan muda si mrefu na Jk atajipaka tope la aibu, ukweli hujidhilisha.

  4. Kutumia vibaya madaraka kuitajirisha familia yake' utajiri wa Riziwan mtaji mkubwa amepata wapi?' mama nae kiguu na njia misafara na NGOs za kujinufaisha nk.

  Yapo mengi lakin mungu hamfichi mnafiki.
   
 19. siemens c25

  siemens c25 Senior Member

  #19
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nng'wele uyo next time tuangalie na makabila ya kuwapa nchi wengine hawa bule kabisa wanawaza ngoma tu.
   
 20. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #20
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  huyu hana aibu anaweza kwenda huyu na asijisikia vibaya
   
Loading...