Chupa za maji kututoa macho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chupa za maji kututoa macho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Umutimbaru, Jul 1, 2012.

 1. Umutimbaru

  Umutimbaru Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Chupa za maji zinazotupwa barabarani na wapita njiani baada ya kumaliza kunyua maji ni hatari sana baada ya kutumika, Gari ikiikanyaga ile chupa ule mfuniko wake hufyatuka kwa kasi sana kiasi kwamba kikikuta jicho basi hiyo ni kwaheri. Hivyo wana JF munashauri nini?
   
Loading...