Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mfanyabishara fisadi aneibia seriakali milioni mia tatu (300,000,000) tra kila mwezi aliyeifirisi wizara ya afya kwa kuuza nguo za madaktari za kiwango cha chini kwa gharama kubwa ya bilioni tatu...
4 Reactions
58 Replies
9K Views
Picha hisani ya Michuzi blog Licha ya mabomu na vitisho vya serikali, waandamaji Zanzibar wangali ngangari kudai maoni yao kuhusu serikali ya Muungano. Haki ya wananchi si kitu cha kuporwa...
7 Reactions
107 Replies
16K Views
Jana ktk taarifa ya habari ya usiku saa mbili ITV chombo ambacho nilikuwa naimani nacho kuwa ni huru na habari zake ziko balance lkn jana kimetoa habari kua huduma ktk hosptali ya muhimbili...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Na Mwandishi Wetu, Songea CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Ruvuma leo tarehe 4/7/2012 majira ya saa nane kinatarajia kufanya mkutano mkubwa wa hadhara katika Viwanja vya Soko...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Watanzania ambao wako katika mlengo wangu napendekeza kama Mungu atamjalia Ulimboka akarudi salama basi ianzishwe Dr. Ulimboka foundation ambayo yeye atafanya kazi hapo na iwe inahusika kusaidia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ALHAMISI wiki iliyopita, Mbunge wa Viti maalum (CCM) Martha Mlata alitaka kauli ya serikali kutoka kwa kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuhusu madai ya kuwapo watu wanaochochea mgomo huo kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hiiinatokana na viongozi wengi wa chama tawala kuunga mkono hoja wakat bado wanashida nyingi za huko majimboni!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huku nikiwa ninaumwa,natafakari madr waliogoma na badae nawakumbuka madr walionitibu utotoni. Nilipowa-google, nimekuta wako nje ya nch. Orodha yao ni: 1. Dr katende kashaija 2.. Dr kempanju...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni kauli ya mwenyekiti wa bunge kama alivyonukuliwa kwenye link attached! Eng Stella Manyanya na lawama kwa madaktari kusababisha vifo - YouTube My take: Hawa wenyeviti wanapatikanaje? Ivi hayo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
:loco:Nchi haiendi hii ndugu zangu tutaaibika,wasomi tunao,wanasiasa tunao ,viongozi tunao.Tutulie tuangalia namna ya kuiokoa nchi hii hatujachelewa.Tunapoteza muda mwingi kupiga kelele,najua wote...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Bofya hapa kufuatilia mjadala Dullonet Live | DulloSports
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wandugu hili nimeuliza baada ya kuona vikiuzwa kwenye stationary moja hapa A.town. Ila niliwahi kusikia waziri wa mambo ya ndani akisema vitatolewa BURE. Naomba jibu.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau hizi taarifa nimezisikia hivi punge kupitia kituo cha radio cha CAPITAL, mwenye access ya habari hizi atujuze tafadhari. My take: Kama ni kweli, big up, hadi serikali DHAIFU, inayoongozwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Imenilazimu leo kutembelea hospitali hizi kubwa nchini na kujionea hali ya mambo ilivyo, Nasikitika na kustaajabu ya Musa (serikali) kuona inaendesha propagana kuwa mgomo umekwisha ilihali hali...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Nimekuwa nafatilia sakata la kutekwa kwa Dr. Limboka, lakini jambo moja linalonishangaza ni kutozungumzia lolote kuhusu alipo Dr. Deo aliyetajwa kuwa pamoja na Dr. Limboka wakati anatekwa...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
"KAMATI YA JUMUIYA YA MADAKTARI TANZANIA 02.07.2012 PRESS RELEASE TAARIFA YA JUMUIYA YA MADAKTARI KUHUSU MAAMUZI YA SERIKALI...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Dugu zangu wana jamii forum mimi nimzalendo wa kweli kwenye hii nchi yangu ya tanzania lakini kinachonisikitisha nijinsi magamba wanavyojitetea kwamba ni wasafi ilihali wapo ndani ya shimo la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Imekuwa ni desturi yetu kujipendekeza kwa boss hata mahali ambapo hapastahili.Sishangai leo hii bunge letu kusahau majukumu yake ya kuisimamia serikali na kuishauri na kugeuka mtetezi wa serikali...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Oxford University Press, the global academic publishing department of the Oxford University, has been ordered to pay nearly £1.9m after two subsidiary companies bribed government officials for...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wananchi wengi, wametokea kuwa wafuatiliaji wa hoja za wabunge. Mara nyingi spika, au mwenyekiti amekuwa akitumia nguvu sana kulinda chama fulani na kuonyesha kama vyama vingine havina mchango kwa...
0 Reactions
0 Replies
987 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…