Ufisadi mkubwa Mariedo Limited

magwepande

Member
Jul 1, 2012
5
5
Mfanyabishara fisadi aneibia seriakali milioni mia tatu (300,000,000) tra kila mwezi aliyeifirisi wizara ya afya kwa kuuza nguo za madaktari za kiwango cha chini kwa gharama kubwa ya bilioni tatu

fisadi huyo anayemiliki maduka makubwa jijini dsm ya nguo, vipodozi na furniture. Pia ndie mmiliki wa kampuni ya mariedo ltd anafahamika kwa jina la mary amri

amekuwa akitakiwa kulipa milioni mia tatu(300,000,000/=) mpaka mia nne(400,000,000) tra kila mwezi kama malipo ya kodi. Badala yake analipa milioni hamsini(50,000,000) hadi milioni 45 (45,000,000) hii inatokana na kwamba mara nyingi anatumia risiti ambazo zimekuwa hazionyeshi vat. Na katika kila duka lake kuna mashine za tra za kuonyesha malipo ya vat lakini zimekuwa hazitumiki ili kukwepa kulipa kodi.badala yake amekuwa akiuza kwa kutumia risiti za kuandika kwa mkono ambazo hazina vat

pia amekuwa akifanya vikao na macashier wake wote kila jumanne anawafundisha jinsi ya kuiibia tra. Kwa hapa mjini ana jumla ya maduka 8 ambayo yote halipi vat ipasavyo.

Maduka hayo ni pamoja na
1.mkapa tower maduka mawili pamoja bureu
2.ips building maduka mawili
3. Mary rose cosmetics lilipo mtaa wa jamhuri
4. Homedecor furmiture lilipo namanga

mama huyo pia alishirikiana na mama blandina nyoni kuifirisi wizara ya afya kusaini mkataba wa tender ya uniform za madaktari na wauguzi wote wa muhimbiri ambapo zilisambazwa uniform na makoti ya madaktari yasiyokuwa na kiwango na kuuzwa kwa bei kubwa sana wakati nchini china yameshonwa kwa gharama za chini mno kwa sababu ni ya grade ya mwisho kabisa.

Jamani watanzania tuamke mafisadi sio mawaziri na wabunge tu hata wafanyabiashara wanaiibia sana serikali na kupoteza pato la taifa. Wanashirikiana na wafanyakazi wachache serikalini wasiokuwa waaminifu kwa kusaini mikataba hewa.

Pia mama huyo amekuwa hawalipii nssf wafanyakazi wake kama ipasavyo, wafanyakazi wake hawana mikataba ya kazi inayotambulika,amewatumikisha wafanyakazi wake kwa muda mrefu bila kuawapa mikataba, wengine wafanya kazi kwa muda miaka kumi bila kuajiriwa wala kuwa na mikataba.

Pia mama huyo amekuwa angiiza mizigo yake nchini bila kutumia jina la kampuni badala yake anawatumia majina ya wafanyakazi wake ilikukwepa kulipa kodi. Na mizigo mingi inapitia kia na anahonga wafanyakazi wa kia na mizigo inapita bila kulipa hata senti ya ushuru. Na majina ambayo huwa anatumia kwa kuingiza mizigo nchini ni pamoja na

  1. wema kaseba – 0754 907020
  2. dora olutu – 0715 500008
  3. haidi nyange – 0754 579622
  4. josephine kissima – 0712 769792
  5. edwina barongo – 0712 827777

majina hayo ndiyo yanatumika kupitishia mizigo air port na bandarini ili kukwepa kulipa kodi.na hatumii jina lake wala la kampuni yake ambayo ni mariedo limited.

Hata mizigo ya wizara ya afya iliyochakachuliwa na fisadi mwenzake mama nyoni iliingia kwa jina la haidi nyange ambayo ilitoka turkey na china na haikulipiwa hata sh mia na badala yake huwa anahonga kwa wafanyakazi wa air port na bandari na kutoa mizigo.


Tunaomba serikali muamke sana kwa wafanyabiashara wadanganyifu kama mary amri harafu anajiita mama mchungaji. Msiwabane mawaziri na wabunge tu kwa ufisadi. Tuna imani wapo wengi sana kama huyu.

Mungu ibariki tanzania .
 
MMMMMMMMh inaelekea umejipanga vizuri na unayo yasema, sio kama hawajui wanajua lakini kila mtu anachumia tumbo lake, mtu anafikiria ana watoto na msharaha laki 4 au 5 kwa mwezi unadhani akipewa mil 5 achie mzigo utadhani ataufanyaje?
 
Tatizo ni la hao wanaohongwa. Tra ni wa kulalamikiwa sana. Nilipe kodi wakajaze bank uswiswi? Hata mi ningekwepa.
 
Si M mama ni M dada tu FISADI wa kufa mtu, alisaidiwa sana na Liyumba, kilichosemwa ni ukweli mtupu
 
Based on My knowledege umemaliza kila kitu. Lakini huyu mama ni mtu asiyekuwa na elimu, mjanja mjanja wa siku nyingi, ana contact kubwa za wazee kwa hiyo ni sawa na kujisumbua kumuanika. Yasemekana Mama B. Nyoni ana share katika Mariedo. Ndio maana alipata tenda ya kushona shati za njano zile za afya kwa bei kubwa. Kama TRA wakifuatilia maelezo yako watafahamu jinsi watu wanavyoingiza mizigo airport na kuitoa Swissport kiulaini.
 
Mi nafikiringoja nimjulishe aanze kutumia jina lako na wewe ufaidike na umate mate kwa kweli....
Nionavyo ushukuru mungu hata kama hiyo 45 million kweli inafika serikalini ukinihakikishia hilo narudi kwenye mada yako
 
Mbona Mishahara ya wafanyakazi India, china, ni midogo lakini hakuna ufisadi kama Tanzania.??????????? Hata wanawake wemejiingiza kwenye ufisadi?. Hii awamu ya nne ni "Baraaaa"
 
Hoja nzuri........ila sio ya SIASA bali INTELLIGENCE

Hapa ndio mahali pale Mkuu, maana ni suala la kisera. Watunga sheria wanapaswa kuliangalia tena eneo la wakwepa kodi kuliko kuendelea kukusanya kodi kiduchu kutoka kwa watumishi Wa serikali wanaokamuliwa kama ng'ombe wa maziwa ilhali wafanyabiashara wakubwa wanakwepa kodi.

Kodi ingekusanywa ipasavyo madai ya madaktari leo hii yasingekuwa issue!
 
duh, tatizo hii nchi ni ya watu wachache, hiyo serikali yenyewe inalitambua hili swala, hata hizo mashine za TRA walizonazo serikali inatambua, issue ni huu 'ushkaji' wa m.kwere ndio tabu mkuu
 
nasikia konyagi inaondoa msongo wa mawazo? Naenda grosari siku imeishakuwa mbaya! Maskini nchi yangu.
 
Back
Top Bottom