Kwa wabunge wote

mohdy888

Member
Jun 13, 2012
26
0
nyie wabunge paka siamini kama nyie ndo mlopita kwa wananchi kuomba kura ambazo leo ndo zimewaweka humo bungen. Hii sheria ya mabadiliko Mifuko ya jamii imepitaje au nyie mmeridhika na hivo viposho mnavyopata au wafanyakazi hawawahusu nyie. SASA HIYO SHERIA HATUITAKI NA MUIONDOE SIVYO MWAKA 2015 WOTE HAMRUDI HAPO.
 
nyie wabunge paka siamini kama nyie ndo mlopita kwa wananchi kuomba kura ambazo leo ndo zimewaweka humo bungen. Hii sheria ya mabadiliko nssf imepitaje au nyie mmeridhika na hivo viposho mnavyopata au wafanyakazi hawawahusu nyie. Sasa hiyo sheria hatuitaki na muiondoe sivyo mwaka 2015 wote hamrudi hapo.
tatizo ni kwamba kura yako ni moja tu!
 
tatizo ni kwamba kura yako ni moja tu!

kweli kabisa kura yangu ni moja tu. na hakuna anayeweza kupiga kura mara mbili kwa wakati mmoja. Wafanyakazi woote nw ndo muda wa kuungana hawa wabunge wameshindwa kututetea so ya nn kuwarudisha tena madarakani
 
Me nakuunga mkono, haiingini akili kupitisha Sheria ya ajabu kama hiii ya NSSF. Hata hawa ambao tumekuwa tunawachukulia kama watetezi wa wanyonge CDM kumbe nao waganga njaa tu. I hate TZ politicians
 
alaf jamaa walivyo wanafki walijikausha kimya nw watu wameshtukia ndo wanasimama eti kutetea wakati inapitishwa walikuwa wapi? wao washaridhika na posho zile wameanza kujisahau
 
bunge letu kimeo sana, wanapitisha sheria ambazo hata hawajazielewa vzr
 
nyie wabunge paka siamini kama nyie ndo mlopita kwa wananchi kuomba kura ambazo leo ndo zimewaweka humo bungen. Hii sheria ya mabadiliko NSSF imepitaje au nyie mmeridhika na hivo viposho mnavyopata au wafanyakazi hawawahusu nyie. SASA HIYO SHERIA HATUITAKI NA MUIONDOE SIVYO MWAKA 2015 WOTE HAMRUDI HAPO.

Mkuu, sema sheria ya Mifuko ya Jamii kwa ujumla, siyo NSSF peke yake. Hiyo sheria inahusu mifuko 6 ya Jamii, NSSF, PSPF, PPF, LAPF,GEPF, na NHIF.
 
Duuu. Mchizi aha Hasira kweli kweli... Mie saizi nahisi nimeshazoea hii kitu.
 
Mbunge wangu upo??
Huku wamesema ama zako ama zao kama hutatoa hoja binafsi kuhusu hii sheria - wanaazimia kukumwaga ikiwezekana kabla ya 2015
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom