Kituo cha kwa Manyanya Kinondoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kituo cha kwa Manyanya Kinondoni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MATESLAA, Jul 26, 2012.

 1. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wadau
  Kituo cha kwa Manyanya kimekidhili wavuta unga na mateja nnje nnje ukipita hapo utawaona wanavyojidunga madawa yao na kuvuta bangi, cha kushangaza nyumba ya nne kutoka hapo ni nyumba ya diwani wao aitwae tarimba CCM na cha kusikitisha zaidi ni polisi kupita kila siku wakielekea mahakama ya kinondoni, mateja wameshawazoea hata hawakimbii wakiwaona


  Nawasilisha
   
 2. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hapo Manyanya ndo pale pamejaa vibaka mpaka wakikosa cha kukuibia wanakubeba hata wewe mwenyewe
   
 3. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mkuu ujakosea ndio hapo hapo jana mvua ilikuwa inanyesha hakuna mtu aliye kubali kusimama kwenye hicho kituo wakikukaba ukileta ubisha wanakuchoma sindano yenye damu ya ukimwi
   
 4. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  hiyo ndo polisi jamii. Usishangae ukiambiwa ni soko la madawa la kiongoz wako. Ukiwa na faida kwa vigogo unalindwa! Wanalindwa hao.
   
 5. k

  kusekwa kusekwa Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Kituo cha kwa Manyanya kimekidhili wavuta unga na mateja nnje nnje ukipita hapo utawaona wanavyojidunga madawa yao na kuvuta bangi, cha kushangaza nyumba ya nne kutoka hapo ni nyumba ya diwani wao aitwae tarimba CCM na cha kusikitisha zaidi ni polisi kupita kila siku wakielekea mahakama ya kinondoni, mateja wameshawazoea hata hawakimbii wakiwaona  Ni kweli ni nakijua fika ni pale manyanya kituoni kabisa ukiwa unatokea makaburini alikozikwa kanumba kupitia kinondoni road . yaani wanavuta unga mchana kweupeee! hata hawaogopi mtu utafikiri wapo chumbani.
   
 6. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,827
  Likes Received: 929
  Trophy Points: 280
  Naweza kuwambia kwa uhakika kabisa..Dar es salaam sio salama iwe mchana au usiku wala sio hapo tu..nchi hii ina shda sana ya uasalama huu ni udhaifu ule ule
   
Loading...