Tanzania na Tanesco mpaka lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania na Tanesco mpaka lini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sir.Chemi, Jul 25, 2012.

 1. S

  Sir.Chemi Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi jamani hili tatizo la umeme tz mpaka lini? Kwani bila Tanesco, Tz hatuwezi kumaliza tatizo hili!,
  Kwanini hawa viongozi wetu wasiruhusu makampuni makubwa yenye uwezo yaje kuwekeza ili tupunguze tatizo hili!
  Mbona kwenye simu tatizo hili limeisha zamani ivo ivo TTCL walikua wanatusumbua lakini baada ya kuja Voda,Tigo na Airtel mambo safiii! mpaka ofa kila wakati, lini Tanesco watakupa ofa hata unit 1? kama sio mgao kila siku.
   
 2. P

  Prince Hope JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 2,167
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Mgodi, kila mtu anachoronga kwa kiwango awezacho............ Richmond na sasa Santa Clara tender!
   
 3. B

  Babu Ubwete Senior Member

  #3
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 26, 2008
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapo ndio maamuzi rahisi yanatakiwa yafanyike kwetu wananchi. Tunaacha mambo ya muhimu kama umeme tunatumia pesa nyingi kununua magari ya serikali, mikutano kama ule wa AfDB arusha,Shereza Uhuru, muungano,kuapishwa kwa walioteuliwa,Semina elekezi,Ubanafsishaji wa kisanii kama wa Bandari,reli.
   
 4. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135

  Mkuu kama viongozi wa wizara waliopo hivi sasa wakiachwa wafanye kazi yao vizuri bila kuwekewa mizengwe na hujuma za hapa na pale, ndani ya mika 2 tatizo la umeme halitakuwepo tena TZ. Kuna utandazaji wa bomba kubwa la gesi kutoka kusini kuja DAR ambao litakamilika ndani ya miezi 18 kama sikosei na gesi hiyo itakuwa na uwezo wa kuzalisha MW 3000+ ambazo ni zaidi ya mahitaji ya nchi nzima kwa sasa. Tatizo kuna watu wanaonufaika na bishara ya majenerata na mafuta mazito kama Rostam (ak.a Symbion) na marafiki zake wanapigana usiku na mchana mradi huo usifanikiwe. Lol! Hii ndo TZ.
   
Loading...