Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 49,015
- 54,296
Wana jf ama kwahakika hali ya maisha kwasasa ngumu kuliko maelezo,kuna wakati najiuliza ugumu huu ni kwa wote au baadhi? Kuna wakati kama sasa Serikali imeongeza kima cha chini cha mshahara japo ni kama kiini macho kutokana na hali ilivyo ngumu sana. Je hawa viongozi wanalipwa kiasi gani? Rais,Makamu wa Rais,Waziri Mkuu,Jaji Mkuu,Mkurugenzi wa TISS,Mkurugenzi wa Takukuru,IGP,Kamishna Mkuu wa Magereza,Kamishna wa Uhamiaji,Mawaziri na wengine nisiowataja hii itasaidia nasi kujua hali hii ni kwa tanzania nzima au laa.......