Happy birthday bi anne makinda-spika wa bunge

Hii ndio siku ambayo bi.Anne Makinda,spika wa bunge letu tukufu la serikali yetu sikivu na yenye kuwajibika alizaliwa.Happy birthday to you anna makinda pamoja na wote uliozaliwa nao siku moja.
 
umri wake (japo cujui) unatakiwa uendane na busara za kuendesha bunge.
 
amezidi sana kuwapendelea jamaa zake wa ccm. inabidi awe anasoma alama za nyakati kwamba sasa hivi muda umesogea sana kwa ccm kuendelea kubebwa... itapigwa chini mara moja
 
Alizaliwa leo hii kwa sababu. Akumbuke tu kwamba amani ya bunge letu i mikononi mwake kwa manufaa ya taifa letu. Busara na imuongoze katika matendo yake bila kujali itikadi za vyama
 
Back
Top Bottom