Hatimaye mkenya amewatambua wenzake aliyeshilikiana nao kumteka Dr.Ulimboka. wakiwa wamefariki

kipenga

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
219
55
wana jf Ni tetesi tu lakini yawezekana kusemwa.
Hatimaye yule kijana anayesemekana ametokea nchi ya jirani (kenya) anayehusishwa na tukio la utekajinyala wa Dr.Ulimboka, ameweza kutambua alioshirikiana nao kwenye utekaji huo wakiwa wamepoteza maisha kwenye ajari ya meli ya MV STAGAT iliyotekea siku ya jumatano.
Habari zinasema kuwa watekaji hao walikuwa wanakimbilia mafichoni Zanzibar, lakini kwa bahati mbaya au nzuri hawakufanikiwa upepo mkali uliosababisha kuzama kwa meli, vijana hao hawakuweza kuokoka kwenye dhoruba hiyo. Aliowatambua ni vijana 7 nakukili kuwa ndio aliokuwa nao siku ya tukio.
My take, Hizi habari hazijathibishwa lakini kwaniijuavyo Tanzania ya leo na jinsi ya hili tukio lilivyotokea yote yanawezekana, tuwe nasubira ndugu zangu, hakuna linaloshindikana.
Nawasilisha.
 
Wa TZ waleo hawatumii kichwa kuotesha nywele.

Wewe hujapita mbele yake akakutambua?
 
wana jf Ni tetesi tu lakini yawezekana kusemwa.
Hatimaye yule kijana anayesemekana ametokea nchi ya jirani (kenya) anayehusishwa na tukio la utekajinyala wa Dr.Ulimboka, ameweza kutambua alioshirikiana nao kwenye utekaji huo wakiwa wamepoteza maisha kwenye ajari ya meli ya MV STAGAT iliyotekea siku ya jumatano.
Habari zinasema kuwa watekaji hao walikuwa wanakimbilia mafichoni Zanzibar, lakini kwa bahati mbaya au nzuri hawakufanikiwa upepo mkali uliosababisha kuzama kwa meli, vijana hao hawakuweza kuokoka kwenye dhoruba hiyo. Aliowatambua ni vijana 7 nakukili kuwa ndio aliokuwa nao siku ya tukio.
My take, Hizi habari hazijathibishwa lakini kwaniijuavyo Tanzania ya leo na jinsi ya hili tukio lilivyotokea yote yanawezekana, tuwe nasubira ndugu zangu, hakuna linaloshindikana.
Nawasilisha.
Kwamaana hiyo hata ingetokea jengo limeungua mngesema wahusika wameonekana kwenye tukio la jengo kuungua??acheni upuuzi wakutafuta kuchomoka kawatambuaje wakati yeye yupo segerea??Au...mnaweweseka?
 
Hata mtoto wangu ana miaka 4 tu lakini ukimwambia habari hii hakubali ni uongo kabisa tena wakufikirika tu'
 
Yani magaidi au majambazi saba yakisafiri kwa chombo kimoja kwa pamoja yakijijuwa ni wahalifu wanaotafutwa? Impossible leta source ya hii habari. Walikuwa wanaenda kuwa train Uamsho?
 
Mtoa mada lazima utakuwa ni Ahmed Msangi. Tangu lini polisi wa bongo akawa great thinker. Karibia wote ni form 4 failures.
 
ametokaje mahabusu na kwenda kuangalia maiti,je alipewa taarifa kuwa watapanda meli? na kwanini wasingewakamata kabla ya kupanda meli wakati wakiwa DSM? nani aliyemweleza kuwa ktk ile meli waliokufa mojawapo ni hao jamaa zake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom