Power Breakfast na Kimombo- Super Sport Interview | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Power Breakfast na Kimombo- Super Sport Interview

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Hurricane, Jul 26, 2012.

 1. H

  Hurricane Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ramadhan Kareem wana jamii. Jana katika kipindi cha Power Breakfast Clouds FM walialikwa reporters wa supersport katika mashindano ya kagame. Kwa wale wenzangu wachache mliopata angalau nafasi ndongo ya kuwasikiliza watangazaji wetu kina Hando na wenzie mnaweza kutathmini kiwango cha ndunguzetu hawa katika kuchambua mabo na kuvunja mayai. It was a comedy by itself. Kumbuka hawa jamaa ndio waliongoza kumponda marehemu kayumba alipoingia bigbrother na yule mama aliyegombea ubunge wa east africa community. Yaani ilikuwa zaidi ya mbaya. Mliosikiliza mwageni zile slang zao hapa tuchangie kuwaweka vizuri. Nawakilisha.
   
 2. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  jamaa walitia aibu,haswa hando.....
   
 3. M

  Makupa JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Clouds haikuwahi kuwa na mtangazaji anaeweza kuongea kingereza kilichonyooka labda Sebastian Ndege tu.
   
 4. j

  jembe mwanaharakati Member

  #4
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni ncha kali tu,mchomvu,B12 wote chali shule hamna pale
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,811
  Likes Received: 36,892
  Trophy Points: 280
  umbea na ngeli wapi na wapi??
   
 6. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Siamini kama shule na kimombo vinahusiana.
   
 7. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,238
  Likes Received: 931
  Trophy Points: 280
  Hando of all people! didn't expected that from Gerald Hando!
   
 8. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,136
  Likes Received: 7,388
  Trophy Points: 280
  labda ML-Chriss kwa kipindi kile.

  PJ ana degree ya communication lakin nae hakuna kitu, ingawa kiasi aljiitahidi kumsaidia Hando!!
   
 9. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Duh! Balaa!
   
 10. v

  valour Senior Member

  #10
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 167
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Gerald Hando hawezi, nilishawahi kumsikiliza.
   
 11. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  kila siku lazima kuwe na mada za radio ya wafu kwa nini?
  hiyo tuwaachie watu wa vijiweni
   
 12. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #12
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Hando alimuuliza Tomas Mlambo: (nanukuu) "how much are you ? (badala ya how many are you?) si ndo hivyo eeeh?
   
 13. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #13
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Babra Hassan kasoma hapo kwa watani wa jadi ! si mbaya binti anatiririka !
   
 14. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,898
  Likes Received: 4,750
  Trophy Points: 280
  Me nadhani Reuben Ndege na Barbara Hassan wako safi ila wengine ni aibu
   
 15. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Fetty yuko vizuri..

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 16. G

  Gerald George J Member

  #16
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna lugha pale
   
 17. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,212
  Likes Received: 10,550
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa kwenye dala dala nasikiliza nilitamani kucheka kwa nguvu... aibu tupu..
   
 18. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Nilikisikiliza sana kile kipindi alikuepo Babla wa Multichoice,Jamaa wa kiganda na Jamaa wa South Africa kiukweli hii lugha ya bibi ni nomaaaaaa jamani inaitaji wito!!!!! How do you say about age crisis in tanzania?
   
Loading...