Cuf inakufa kifo chema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cuf inakufa kifo chema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MWANAWAVITTO, Jul 25, 2012.

 1. MWANAWAVITTO

  MWANAWAVITTO Senior Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Habari za wakati huu wapendwa. Najua ndugu zetu WAISLAM wapo katika mfungo wa mwezi mtukufu wa RAMADAN, kipekee niwatakie kheri na fanaka"RAMADAN KHAREEM"

  Ni siku ya tisa tangu nimerejea jijini Arusha baada ya kukosekanakwa mwezi mzima.
  Kama ilivyo ada, kurejea kwangu kumekutana na mambo kadha, yakufurahisha na kuhuzunisha pia,

  Baada ya kuwasili nilipokelewa kwa furaha na marafiki zangu, jambo la kushtusha walinipa habari za kufariki kwa mwanachama mwenzetu wa CHADEMA na rafiki yangu Ndugu SAID ABDALLAH, sikuamini nilihisi kama nipo ndotoni, wakati naondoka tuliagana naye vema akiwa buheri wa afya, ghafa naambiwa amefariki, ni pigo kubwa kwetu. pumzika kwa amani KAMANDA SAID ABDALLAH.

  Nikiwa nimezama ndani ya dimbwi la Tanzia, ghafla napewa TAARIFA ZA UJIO WA CUF-ARUSHA MJINI.
  Ilikuwa ni habari ya kushangaza sana, kama inavyoeleweka jimbo hili ni ngome ya CHADEMA yenye wafuasi wenye ITIKADI ZA KIGHAFIDHINA wasiopenda UONEVU, UBAGUZI, DHULUMA na UPENDELEO. kwa ufupi huwezi kuzitaja siasa za TANZANIA bila kulitaja JIJI HILI.

  Ujio wa viongozi wa CUF ulitanguliwa na uzinduzi wa mashina na kusaka wafuasi na himaya, nakumbuka kipindi cha nyuma niliwahi kueleza kuwa nimekutana na ujumbe wa CUF kutoka makao makuu Dar es salaam wakiwa na harakati za kusaka wanachama,

  Hatimaye ujumbe wa kitaifa ukiwa na salamu kutoka kwa PROFESA IBRAHIM LIPUMBA.

  Katika mbio hizi za kisiasa CUF walifanikiwa kuibomoa CCM kwa kuwachukua baadhi ya wanachama wake, akiwemo kada maarufu wa chama cha mapinduzi Ndugu HAMZA ambaye pia alitawazwa kuwa Mwenyekiti wa Vijana CUF wilaya ya Arusha.
  Mpaka ujumbe huu mkubwa unaondoka haukufanikiwa kuvuna wanachama kutoka CHADEMA, hata mmoja, huu ni ujumbe tosha ya kuwa CHADEMA iko imara na ni NGOME isiyotikiswa.

  Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa wanakampeni wa kuinadi na kuhamasisha watu kujiunga na chama chao walitumia njia zisizofaa katika harakati zao na hivyo kujikuta katika wakati mgumu na hata kunusurika kupigwa.

  Moja ya mbinu zao ilikuwa ni udini. Chini ya mwamvuli huu waliwahamasisha WAISLAM walioko CHADEMA kujitoa na kujiunga CUF kwa hoja kuwa CHADEMA ni chama cha KIKRISTO.
  Hoja hizi zilitumiwa sana na baadhi ya MAIMAMU ambao siyo wazawa jambo ambalo lilizua hasira kubwa miongoni mwa WANACHADEMA WAISLAM, ambao hawakupendezwa na UPUUZI huo.

  Mmoja wa WANACHADEMA WAISLAM (namtaja kwa jina moja) RAMADHANI aliniambia huku akiwa amekasirika "kamanda, eti Imamu ananiambia niachane na CHADEMA kwa sababu niya KIKRISTO halafu tujiunge na chama chetu CUF," akaongeza kusema "hawa jamaa wajinga sana, kwanza hata HUKO MSIKITINI siendi tena nitaswali nyumbani" aliongea kwa lafudhi ya KISAMBAA huku akihamaki.

  Tukio hili linanikumbusha miaka miwili iliyopita ambapo kampeni kama hizi ziliendeshwa na kuwafanya marafiki zangu sita kugoma kwenda MSIKITINI kwa sababu kama hizi, leo CUF wameshindwa kutambua HISTORIA na wameyarudia matapishi ya CCM kwenye uchaguzi mkuu wa 2010.

  Habari hizi zimekuwa "HOT CAKE" JIJIN ARUSHA. Kwani ukihoji mashina na matawi pamoja na viongozi wake utakuta ni wale wale wanaoendeleza siasa za ubaguzi,
  kama ilivyo ada watu wa ARUSHA kwa asili yao hawapendi UBAGUZIwala UONEVU. Kwa mtindo huu niwaase viongozi wa ngazi ya juu TAIFA-CUF, huenda hawazijui habari hizi, ninaheshimu PROFESA LIPUMBA, najua HAKIKA ya kuwa yeye sii MBAGUZI wala MDINI lakini JAHAZI alilopanda limejaa watu wenye DHAMIRA MBAYA na MBOVU ambao watamwangusha kama siyo kumwangamiza kabisa kisiasa.

  Kwa mwendo huu atambue "CUF INAKUFA KIFO CHEMA" cha udini na ubaguzi kwani watu wa upande wa pili hawatawaunga mkono, hivyo umefika wakati mwafaka wa yeye ama KUONDOKA CUF au kukifumua chama hicho.
  Lakin mimi namshauri ni bora kuondoka kuliko kubaki.

  CUF wasitegemee kukua na kuchukua dola bali wategemee kudumaa hatimaye "KUFA KIFO CHEMA"

  wasalaam.
  Mwanawavitto kiraro
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mwanawavitto,
  Wewe ni mweledi mzuri wa siasa za Arusha, nashangaa hujakutana bado na wanazi wenzio akina Crashwise, Mungi etc.
  Watu wa Arusha wameisoma vizuri sana operesheni Mchakamchaka na wanaisubiri kwa hamu, maana wanaona kama vile wanaokuja ni kundi la Masanja Mkandamizaji.
  Sielewi strategists wa Cuf wanakuwa wametumia kinywaji gani hadi kukubaliana kujaribisha kuja Arusha(naamini si Konyagi), wakati wanaelewa yatakayowapata.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. MWANAWAVITTO

  MWANAWAVITTO Senior Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  tende na haluwa.

  Mungi & crashwise nitawatafuta.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. a

  abousalah2 Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo kijana anaye kataa kwenda msikitini bora mumchukue kanisani mukamfundishe itikadi hasa zahilo cdm! Musijitanganye cdm kama nanyi mutachukua nchi nakunukuu hata wewe unaelement za kibaguzi"maimamu waso wazawa" cuf kinawapunge kote unguja na pemba pamoja na huko bara! Cdm hata diwani znz hamuna hiyo dola mutaipata wapi? Naona munatwanga maji kinuni!
   
 5. MWANAWAVITTO

  MWANAWAVITTO Senior Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  ukweli unauma
   
 6. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Heading yako inashabihiana kabisa na content yako. CUF inakufa kwa kuendekeza udini ambao wajanja walisha ukataa.
   
 7. m

  markj JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  pigeni kelele weweeee! ooh cdm,sijui cuf mara ccm! siku kikinuka ni kati ya muslim na christians! ivyo vyama vyote mtavikimbia! mana hapa hamna siasa bali ni udini tu huu! makafri bana, laaana yato kwa mola! walaaniwe!
   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,744
  Likes Received: 12,820
  Trophy Points: 280
  Hakika cuf ina kufa.
   
 9. S

  SHEMGUNGA JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 653
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Imeoza kabisa ccmb haina jipya duu jamaa wengine hawaelew zbr kama kata moja ya jij la tanga..
   
 10. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,654
  Trophy Points: 280
  Hahaha kwa hilo la kuwa na wabunge kote kote nawapongeza, ila nashaka na bara soon mtakosa hata huyu mmoja aliyepo.
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  Jul 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Halafu ni member wa muda mrefu na bado anagusia siasa za Arusha kama ilivyo!
  Kusema kweli hawa ndugu zetu CUF wanakoelekea au wanakotaka kuwapeleka wana Arusha siyo, mfano kuna baadhi ya ndugu zetu waislamu ambao kijiwe chao ni pale Arusha City Cafe kwa Shefu, sikuzote wao ni kuhamasisha watu kujiunga CUF, kama haiwezekani basi waisupport CCM eti kwa kuwa ni vyama vyenye itikadi za waislamu!
  Watu wa Arusha wanajitambua, na wanatambua aina ya siasa inayotakiwa Arusha ni siasa ya namna gani!

   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  MWANAWAVITTO karibu sana.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  This is what Nyerere, Karume agreed on Tanzania
  On April 26, 1964, The Father of Nation Mwalimu Julius Nyerere and the First Zanzibar's President Abeid Arnan Karume united Tanganyika and Zanzibar to form the United Republic of Tanzania. The Union was supported by what came to be known as the Articles of Union. Here is the original document of the articles as agreed by the founders of the two nations.
  [​IMG]
  Baba wa Taifa,Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere(kushoto) akibadilishana na Hayati Sheikh Abeid Amani Karume(kulia)
  WHEREAS the Governments of the Republic of Tanganyika and of the Peoples' Republic of Zanzibar being mindful of the long association of the peoples of these lands and of their ties of kinship and amity, and being desirous of furthering that association and strengthening of these ties and of furthering the unity of African peoples have met and considered the union of the Republic of Tanganyika with the Peoples Republic of Zanzibar:

  AND WHEREAS the Governments of the Republic of Tanganyika and of the Peoples' Republic of Zanzibar are desirous that the two Republics shall be united in one Sovereign Republic in accordance with the Articles hereinafter contained:-

  It is therefore AGREED between the Governments of the Republic of Tanganyika and of the Peoples' Republic of Zanzibar as follows: -

  (i) The Republic of Tanganyika and the Peoples' Republic of Zanzibar shall be united in one Sovereign Republic.

  (ii) During the period from the commencement of the union until the Constituent Assembly provided for in Article (vii) shall have met and adopted a Constitution for the united Republic (hereinafter referred to as the interim period) the united Republic (i) ii) to (vi) shall be governed in accordance with the provisions of Articles

  (iii) During the interim period the Constitution of the united Republic shall be the Constitution of Tanganyika so modified as to provide for;

  (a) a separate legislature and executive in and for Zanzibar from time to time constituted in accordance with the existing law of Zanzibar and having exclusive authority within Zanzibar for matters other than those reserved to the Parliament and Executive of the united Republic;

  (b) the offices of two Vice-Presidents one of whom (being, a person normally resident in Zanzibar) shall be the head of the aforesaid executive in and for Zanzibar and shall be the principal assistant of the President of the United Republic in the discharge of his executive functions in relation to Zanzibar;

  (c) the representation of Zanzibar in the Parliament of the United Republic;
  such other matters! as may be expedient or desirable to give effect to the united Republic and to these Articles.
  (iv) There shall reserved to the Parliament and Executive of the united Republic the following matters-

  (a) The Constitution and Government of the united Republic.
  (b) External Affairs.
  (c) Defense.
  (d) Police.
  (e) Emergency Powers.
  (f) Citizenship.
  (g) Immigration.
  (h) External Trade and Borrowing.
  (i) The Public Service of the united Republic,
  (j) Income Tax, Corporation Tax, Customs and Excise.
  (k) Harbours, Civil Aviation, Posts and Telegraphs.

  [​IMG]
  Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akichanganya michanga ya ardhi ya Zanzibar na Tanganyika wakati wa Muungano 1964 huku (kulia) aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM Rashid Mfaume Kawawa akiangalia tukio hilo na nyuma (kushoto) aliyekuwa Rais wa Zanzibar Abeid Amani Karume akishuhudia tukio hilo.

  And the said Parliament and Executive shall have exclusive authority in such matters throughout and for the purposes of the united Republic and in addition exclusive authority in respect of all other matters in and for Tanganyika,

  (v) The existing laws of Tanganyika and of Zanzibar shall remain in force in their respective territories subject-

  (a) to any provision made hereafter by a competent legislature;
  (b) to such provision as may be made by order of the President of the united Republic for the extension to Zanzibar of any law relating to any of the matters set out in Article (iv), and the revocation of any corresponding law of Zanzibar;
  (c) to such amendments as may be expedient or desirable to give effect to the union and to these Articles.

  (v) (a) The first President of the united Republic shall be Mwalimu Julius K. Nyerere and he shall carry on the Government of the united Republic in accordance with the provisions of these Articles and with the assistance of the Vice-Presidents aforesaid and of such other ministers and officers as he may appoint from Tanganyika and Zanzibar and their respective public services.
  (b) The first Vice-President from Zanzibar to be appointed in accordance with the modifications provided for in Article (iii) shall be Sheikh Abeid Karume.
  (vii) The President of the united Republic: in agreement with the Vice-President who is head of the Executive in Zanzibar shall;
  (a) Appoint a Commission to make proposals for a Constitution for the united Republic.
  (b) Summon a Constituent Assembly composed of Representatives from Tanganyika and from Zanzibar in such numbers as they may determine to meet within one year of the commencement of the union for the purpose of considering the proposals of the Commission aforesaid and to adopt a Constitution for the
  united Republic.

  (viii) These Articles shall be subject to the enactment of laws by the Parliament of Tanganyika and by the Revolutionary Council of the Peoples' Republic of Zanzibar in conjunction with the Cabinet of Ministers thereof, ratifying the same and providing for the Government of the united Republic and of Zanzibar in
  accordance therewith.

  EN WITNESS WHERE Julius K. Nyerere, the President of the Republic of Tanganyika, and Abeid Karume the President of the Peoples' Republic of Zanzibar have signed these Articles, in duplicate, at Zanzibar, on this twenty-second day of April, 1964.

  Passed in the National Assembly on the twenty-fifth day of April, 1964.

  Source:SafariLands.org: Tanzania's nature, safari, cultural & tourism informations
   
 14. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #14
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35

  Duuuuuuu...!!!! Kiswahili kazi utafikiri nacho kimetoka kwa malkia....Khaaaaaa..
   
 15. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #15
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  CUF inakufa ! au wewe na chama chako ndio mnakufa ?
   
 16. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #16
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  heri yangu mimi mpogoro.
   
 17. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #17
  Jul 26, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,633
  Trophy Points: 280


  Mkuu Mungi

  Ni kweli operation za CUF hapa jijini Arusha zimejikita kwenye dimbwi la udini bahati mbaya wakuu wa hii mipango hawajui wapi watumie udini ili wafanikiwe na wapi wasitumie udini ili wafanikiwe.Mikoa ya kanda ya kaskazini unapotumia propaganda za kidini bila kujua ni dini gani ina wafuasi wengi hakika ni kujichimbia kaburi wakati bado unapenda kuishi.

  Arusha City Cafe ni kamgahawa kadogo kasikokuwa na sifa ya hilo jina,ni sehemu iliyokuwa ikitumiwa na Dr Batilda kipindi cha kampeni za mwaka 2010 bahati mbaya kampeni ziliendeshwa kwa misingi ya dini na ukabila.CUF pengine kwa kutokujua mazingira ya Arusha wamehamishia propaganda zao dhaifu Arusha City Cafe wanazi wake sasa wanafaidi futari ya bure kipindi hiki cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.Ifahamike wazi kijiwe hiki kilikuwa kijiwe cha CCM na si cha CDM.Hongera Juma mnene kazi nzuri makali ya gharama za futari hazikuhusu.Hongera Seif una uhakika wa wateja na kipato.


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #18
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ni kweli CUF kimepoteza mvuto haswa upande wa bara,siasa zake za udini zimekidhoofisha chama hiki.CCM walipoigundua ajenda ya CUF walitumia mbinu hiyo kuudhofisha na kujaribu kuugawa upinzani sehemu mbili kwa propaganda ya CUF-Waislamu then CHADEMA-Wakristo na mpaka leo hii kuna watu wanaamini hivyo.Mtaji huo umewafaidisha ccm lakini sasa watu wameamka na kuteua propaganda hiyo.Kimsingi inasikitisha kuona CUF bado hawafanyi jitihada zozote kubadili hii hali. Binafsi sipendi kuona utitiri wa vyama vingi vya siasa nchini na ningependa kushuhudia japo vyama viwili vyenye nguvu na watu makini ndani ya siasa za Tanzania.Ni dhahiri CHADEMA kimeweka msingi mzuri wa kuvutia wanachama wa dini zote na ili lifanikiwe zaidi basi ni vema kwenye uchaguzi mkuu wa chama suala hili liangaliwe kiundani ili kuondoa milango ya propaganda chafu kwenye uchaguzi 2015.
   
 19. Vijisenti

  Vijisenti JF-Expert Member

  #19
  Jul 26, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Ingekuwa post hii inaiponda CHADEMA bila shaka ungeona matusi ya
  nguoni yakiporomoshwa. Bahati CUF ina viongozi na wanachama waungwana
  musitegemee matusi kutoka kwa wafurukutwa, wakereketwa, mashabiki na
  wanachama wa CUF ni watu wastarabu sana, hii ni dalili kuwa nchi ikichukuliwa
  na CUF itaendeshwa kistaarabu, Ole wettu kama CDM watachukua nchi itakuwa
  ni Full matusi kuanzia maofisini mpaka majukwaani.
   
 20. DEMBA

  DEMBA JF-Expert Member

  #20
  Jul 26, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 7,295
  Likes Received: 3,135
  Trophy Points: 280

  watu wengine bana ww kusoma hujui, hata picha huoni? hivi nani asiyejua ccm B, imepoteza muolekuo, huku bara inawabunge wangapi? si bora hata chadema imesambaa karibu kona zote. ukienda kaskazini ipo mwanza kuna wabunge wao, nenda nyanda za juuu mbeya na iringa, kaskazini ndo usisemee. eeh tuambie cuf wanajivunia wapi?
   
Loading...