Utawala wa kibabe kwenye maofisi ya serikali

MARUKENI

Member
Jul 24, 2012
55
5
Inakuwaje umepewa nafasi ya ukurugenzi katika mojawapo ya ofisi ya serikali kabla ya hapo ulikuwa unashirikiana vizuri na wafanyakazi wenzako lakini baada ya kupewa hiyo nafasi unaanza kuwadharau wafanyakazi walio chini yako kwa kusema kila sehemu kwenye maofisi mengine kwamba hawa wafanyakazi wenzangu hawajui kazi yeyote ila mimi peke yangu.je huo ndo uongozi?
 
Of course ukipanda ama kuingia ofisi ya uandamizi zaidi u wll not be the same bana maana majukumu yanakuwa ni Planning, Organizing, controling etc, ambapo at some point utaonekana kutowapendeza watu wote ofisini!

Bandiko lako ninapolitazama limeandikwa kutokana na context ya surbodinate staff!...ni kawaida kwa junior staff kulaumu watu wa Management bila sababu za msingi, wakidhani kuwa wanaonewa constantly!
 
Mambo ya ofisini ndio umeamua uyalete hapa JF?
Nitakutesa mpaka uhame idara, nyambaffff

Back
Top Bottom