Afisa wa polisi ameniambia 'Uumesoma ila hujaelimika'' baada ya kugoma kutoa rushwa...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afisa wa polisi ameniambia 'Uumesoma ila hujaelimika'' baada ya kugoma kutoa rushwa...!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mkayala, Jul 29, 2012.

 1. mkayala

  mkayala JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Afisa mmoja wa polisi MWENYE NYOTA MOJA ameniambia kuwa nimesoma lakin sijaelimika.

  Kisa eti nimegoma kutoa RUSHWA kwake.YAN hadi RB sasa inauzwa, kwenda kumkamata mtuhumiwa nigharimie USAFIRI NA KUWALIPA MAASKARI....

  KWA KWELI NCHI IMEBAKWA
   
 2. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwa ustaarabu huo, Polisi jamii, ulinzi shirikishi, kutii sheria bila shuruti...zitabaki kuwa NDOTO tu.
   
 3. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Nchi iko upside down!!
   
 4. mkayala

  mkayala JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ni kweli,hata hawa shirikishi,ukiwa na matatzo unaulizwa UTATOA BEI GANI?
   
 5. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  sasa ulifanyeje mkuu?
   
 6. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,488
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160


  hapo kwenye red hiyo ni lugha ya kuudhi na ya kudhalilisha,futa kauli,kwa kuzingatia kanuni za bunge la Tanzania
   
 7. mkayala

  mkayala JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nimefuta usemi NCHI IMEBAKWA nasema NCHI IMESHAUZWA!
   
 8. mkayala

  mkayala JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nilikasirika na kumwambia nipe barua ya wito polis niipeleke mwenyewe,nayo akadai alf20,nikamwambia hiyo ni haki yangu na sitoi hela,tukavutana kisha akanipa nikaipeleka.,MTUHUMIWA alitakiwa afike saa 3 sku inayofata,nilipofika nikamkuta ofcn na Yule Afisa...akaniambia niko hapa tangu saa 1 asubuhi...
   
 9. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Great!! Bila kuwa bold ungetoka kapa.
   
 10. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,488
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  tungekuitia sargent at arms sasa hivi
   
Loading...