Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu namuomba Dr Slaa arudi kazini na aokoe hili jahazi. gafla nahisi chama kimepoa mno. Mbowe hasikiki, Slaa nadhani mambo ya ndoa yalikuwa yanamaliza mda na sasa yameisha arudi,. Mambo ya...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
kwa taarifa nlizo nazo leo kipindi cha sa mbili na nusu watakuwepo wadau wakichambua sheria mpya inayokataka withdraw benefit, wadau mpige simu kuchangia source Chanel Ten.
0 Reactions
49 Replies
5K Views
pia story hii na zingine zinazohusu tourism, wildlife na african culture visit www.facebook.com/africantourism Facts and photos about Africa's most dangerous animals (defined as any living thing)...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sijui Nani katuloga. Hata kuku anatushinda, kuku ukimvunja mguu kwa kula mahindi uliyoyaanika juani, baada ya dk chache hurudi pale pale kuendelea kula. Au haya mavyakula ya kisasa yanapunguza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Country World Ranking Corruption Perceptions Index Rating [1] 1 Somalia 1 1.1 2 Sudan 4 1.5 3 Chad 6 1.6 4 Guinea 8 1.8 4 Equatorial Guinea 8 1.8 4 Burundi 8...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Taarifa toka chanzo cha uhakika zimebainisha Waziri wa Maliasili na utalii Balozi Khamis Kagasheki ameanza kufumua uozo mkubwa unaoitafuna Ngorongoro Conservation Area Authority. Account binafsi...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
JUMATATU, JULAI 30, 2012 05:03 NA WAANDISHI WETU, DAR NA DODOMA *Atakiwa kutaja wabunge waliohusika *NCCR Mageuzi yampatia wiki moja *Watuhumiwa hatarini kupoteza ubunge wao *January Makamba...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Serikali naomba ilipe fedha za Dowans ili kutuepusha kukaa kwenye giza. Mafisadi wana nguvu pamaoja na mtandao mkubwa na wamo humuhumu nchini.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wapo wabunge/madiwani wa darasa la saba,pia wapo wanaoongoza maeneo madogo kama mitaa pia wapo wenye maeneo kama kata,wapo wenye maeneo kama nchi ya Rwanda.Wengine kutembelea maeneo yao ni robo...
1 Reactions
0 Replies
677 Views
Bei ya mafuta ya zabuni ya kampuni ya PUMA ni Shs.1,460/= kwa lita moja,huku mtaani tunauziwa si chini ya Shs.2,000/= kwa lita,hivi hii Serikali yetu jamani inatujali na kututhamini kweli,mbona...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kumeibuka biashara jijini DSM ya kila kona ya jiji kuwashwa moto na kukaanga chips mitaani. Wauza chips na mishikaki hawa hawafahamiki nani kawawapa kibali bila ya kufahamu kama afya zao na...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Pinda wa kipindi hicho alikuwa muwazi,mkweli,tena mwenye hisia kali mpaka kulia bungeni,mwenye kutoa maagizo na sio kuomba, where are u i mis u mkpp
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Tunamshukuru Mungu kwa kutuweka hai. Wiki iliyopita swali langu limeleta gumzo na maneno ya jaziba na matusi dhidi yangu kwa baadhi ya watu waliodhani kuwa Mimi ni mpinzani wa dini ya kiislamu...
0 Reactions
139 Replies
11K Views
Nimetafiti juu ya hawa jamaa,nikajiuliza maswali mengi sana hawajamaa wanapokuwa depo hupewa na mafunzo ya ufugaji wa BATA, Maana kila unapopita katika kambi zao kila askari anakabwawa na mibata...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Inawezekana kuna aina fulani ya maisha tunaanza kuzoeshwa Watanzania, ni aina ya hakuna itakachowezekana bila migomo na maandamano. Maisha ya sasa yamekuwa hata wanafunzi wa chekechea huandamana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Shule zote za st.wanafunzi na walimu wako kazini kama kawaida alakini za kinakayumba mambo sio shwari kabisa.nikweli na nidhahiri kua hakuna mbunge au kiongozi yeyote wa siasa hakuna mwanae...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Kutokana na migomo ya walimu, na baadae wafanyakazi wote wa serikali na binafsi kupinga sheria kandamizi ya mifuko ya jamii, ni wazi kwamba msitu wa mabwepande utakuwa na ugeni kila iitwapo leo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
licha ya vibwanga,vituko na mambo yote ya aibu juu ya hawa jamaa bado mwaka 2015 posters mtaani zitasomeka chagua lusinde. CCM Wabishi na wagumu kusoma alama za nyakati.. Watanzania wagumu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu salaam kwenu wote. Ni hii Wiazara ya yule mama yangu wa Kanyigo AKA Prof. Tibaijuka. Kero yangu ni hao Masavea ambao hawasavei kitu cho chote badala yake wanasubiri wananchi wagharimie...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa kweli sijivunii kabisa kuwa raia wa nchi hii,cjui kwa nn nilizaliwa hapa,hata majirani zetu wanatudharau sana,wanatuona sie ndo mapimbi namba mja duniani,kwani tuna kila kitu kinachoweza...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom