Rushwa Kamati ya madini na nishati, ni kashfa nzito. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rushwa Kamati ya madini na nishati, ni kashfa nzito.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mangaline, Jul 30, 2012.

 1. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kashfa ya rushwa kamati ya madini na nishati, ni moja kati ya nzito kashfa zinazoweza kuichafua serikali, na pia kuchafua wahusika, waliomo na wasi kuwemo ndani ya kamati husika. Hii inatokana na hisia zinazoendelea kuwaandama wabunge wengi na hata kuhusisha mbunge mtetezi wa wananchi, ambaye hivi karibuni, amediriki hata kutangaza nia yake ya kugombea nafasi kubwa nchini, kutokana na kukubalika kwake katika jamii. Kwa kashfa hii, kama ni kweli alihusika, basi inawezekana kabisa hata hiyo nia yake ikachafuka.

  WAZO LANGU:
  Ili haki itendeke, kila mtu ahukumiwe kwa haki, uchunguzi wa kina ufanyike, haki itendeke. wahusika wajiuzuru, hata anayefikiria kugombea nafasi kubwa, chama chake kisimwonee haya. Tutalinda Heshima ya nchi kwa kutokuonea aibu wala rushwa.
  "MUNGU IBARIKI TANGANYIKA, MUNGU IBARIKI ZANZIBARI, RIP TANZANIA"
   
Loading...