je unywaji wa pombe kali(spirits) unasaidia kupunguza mwili(unene) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je unywaji wa pombe kali(spirits) unasaidia kupunguza mwili(unene)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mopaozi, Jul 29, 2012.

 1. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Imekuwa mazoea kwny vijiwe vyetu kuwa unywaji wa pombe kali spirits km konyagi,vodka,gin nk kuwa zinakata mafuta na kwa wenye miili mikubwa wengi wamejikita huko je ni kweli kuna ambaye amepunguza mwili na ni kivipi hizi pombe zinapunguza mwili je zinayeyusha mafuta kama moto?je zina fanya nini mwilini?
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Ni kweli mkuu,zinayeyusha mafuta pamoja na ini!
   
 3. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Cyo vijiwen tu,naona cku izi hata kwenye maharusi watu wanapendelea sana izi pombe kali kali,tofauti na vitu kama bia,malta na soda.Naici itakuwa na kitu cha namna hyo.Au ni fashion tu,make wabongo huwa tunapendaga kuigaga mweee!mwenye dp knowledge na hii atumegee nac.
   
 4. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Na je ukiharisha asbh kama jana yake ulikunywa ndo mafuta yanatoka?
   
 5. B

  Bigdadaa Member

  #5
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inapunguza lakin sio unakunywa konyagi na minyama,chipsi na vyakula vngne vnanavyopelekea kuongeza mwili. Sana sana utakaanga maini na koo. Diet nzur,nia ya kupungua plus icho kinywaji vnaweza kukusaidia.
   
 6. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  I HAVE 6-7 BEERS A NIGHT AND I PEE LIKE A TAP. WHAT's THIS ALL ABOUT?
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  tunakunywa konyagi kuepuka diabetes mellitus..lakini dah, ini nalo linatwishwa mzigo usio wake..
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Suala la msingi ni kuwa spirits hazina nutrition value kama beer na mbege. Mtu anaekunywa tout tatu za spirit sio sawa na aliekunywa bia 3 (sawa na chapati kadhaa).
  Suala la kula ni tofauti na pombe, na itachangia kwenye kuongeza mwili. Zingatia, unywaji pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako.
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Why not put a lock on your tap? It will save you all the trouble (of coz meaning more tome for beer)
   
 10. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Bia mbaya inanenepesha konyagii safii
   
Loading...