Mkuu wa kituo cha polisi mkoa wa morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuu wa kituo cha polisi mkoa wa morogoro

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by samilakadunda, Jul 30, 2012.

 1. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ndugu zangu naomba tujadili, nisahihi polisi kuwafanya waendesha bodaboda,vijana walioamua kujitafutia riziki na kuachana na utumiaji wa madawa ya kulevya,uporoji na utapeli, njia ya ukamataji yenyewe ni kuvamia kupiga kama wanamkamata jambazi, nilipojaribu kuwahoji baadhi ya polisi wameniele kwamba wao wamepewa amri na mkuu wao,lengo lao nikusanya mapato nawanaeleza kwamba mkuu wakituo anamaongezi nao waenda pikipiki wote. swali langu ni je, nikweli kwamba mkuu wa kituo ameshindwa kabisa kutafu njia rahisi ya kuwahamasisha kuwakusanya hawa vijana?,kwanini kuwageuza mtaji hawa vijana ambao pia ndio ajira yao?. WATANZANIA KUNAHAJA YA KUCHUKUA HATUA.
   
 2. NANGANA

  NANGANA JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 7, 2012
  Messages: 592
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 60
  bhasii hiyo ni njaa 2,hasa hawa watu mmhhhh!!!
   
Loading...