Mkoba kama Ulimboka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkoba kama Ulimboka!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wajad, Jul 29, 2012.

 1. W

  Wajad JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,130
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Hongera mwl. Mkoba kwa msimamo wako kama dk. Ulimboka! Sasa tumsubiri mbayuwayu Mgaya.
   
 2. N

  Njangula Senior Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yetu macho maana sie walimu tukitishiwa kidogo tu kwisha habari!
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  hivi mgomo wawafanyakazi wote lini..
   
 4. moto2012

  moto2012 JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 2,170
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  nasubiri strike ya wafanyakazi wote, nadhani huu ni wakati wa kuungana bila kujali sekta. hili la sheria ya mifuko ya hifadhi ya jamii ni kielelezo tosha cha ulafi wa wanasiasa na udhaifu wa serikali ya magamba. Please bila kugoma tutanyanyaswa sana na wanasiasa hasa hawa wa Magamba! nataman Msafiri arudie tena komedi yake ya mbayuwayu na kong'ota!
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Subiri tuone bunge litaamua nini kubadirisha sheria kandamizi ya fao la kujitoa,hapa ndio tutakinukisha nchi nzima!
   
 6. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,840
  Trophy Points: 280
  mukoba asipochakachuliwa akachakachuka ni muhumili mzuri sana kwa waalimu kupiga hatua katika mambo yetu....
  lakini hacelewi kufanyiziwa...................
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Historia ndio mwalimu mkuu(By shibuda),tushajivunza A to Z ya utekwaji wa Dr Uli so mukoba hawezi ingia king tena labda waje na Ak47 nyumbani kwake!!
   
 8. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,840
  Trophy Points: 280
  umenena vema mkuuuuuuu......
   
 9. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  baada ya mgomo wa madaktari, sasa unanukia wa waalimu, utafuatia mgomo wa wafanyakaz......., kisha polis....., kisha wabunge
   
 10. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mabwepande ndio break ya mwisho
   
 11. W

  Wajad JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,130
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Hadi wabongo tukiwa kama wamisri ndipo kitaeleweka.
   
 12. W

  Wajad JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,130
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Hadi wabongo tukiwa kama wamisri ndipo kitaeleweka.
   
 13. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ...mgomo..na..likizo. Du!
   
 14. W

  Wajad JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,130
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Liwalo na liwe mpaka kieleweke
   
 15. W

  Wajad JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,130
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Hadi wabongo tukiwa kama wamisri ndipo kitaeleweka.
   
 16. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #16
  Jul 29, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Ndo ujue Ualimu ndo chemichemi ya taaluma Zote duniani na ulimwenguni?WHY?Serikali ilikua imewaandaa JWTZ,FFU,SUNGUSUNGU,SCOUT,JKT ,e.t.cku walimu wakiingia road,maji ya *****,risasi za moto ziwagharikie!bila kufikiria walimu ndo chanzo cha kazi zao.Sasa tunabaki home,tuone kama tutafuatwa!Solidariityy 4...r
   
 17. SOLOMO

  SOLOMO JF-Expert Member

  #17
  Jul 29, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwl Mkoba, nakupa pole kwa namna unavyopigania haki za walimu ila naomba nikuulize jambo moja muhimu hapa! Hivi munapokuwa katika Vikao mbalimbali vya TUCTA, huwa munaimba kale kanyimbo kenu ..":grouphug: SOLIDARITY FOREVER X 3, FOR THE UNION MAKES US STRONG!" Sawa, kama huwa munaimba, iweje leo CWT munatangaza mgomo wa walimu wote lakini dada na kaka zenu wa TUGHE, RAAWU, TUICO, CHODAWU, TAMICO, TEWUTA, DOWUTA, TRAWU, COTWU (T), TALGWU na wengine wamenyamaza kimya kana kwamba wewe huna mahusiano kabisa nao!!!? Vyama vya Wafanyakazi Tanzania bado safari ni ndefu sana kuelekea "TRUE UNIONISM" au mumejaziwa mapandikizi toka kwa mahasimu wenu (Waajiri)?

  Kazi ipo! Waombe walimu wakutafutie ulinzi laa sivyo utani utani huenda ikawa kweli waka KULIMBOKA!

  Take care brother!

  God bless all Teachers in Tanzania
   
 18. kimpe

  kimpe JF-Expert Member

  #18
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 745
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 80
  sasa mgomo unaanz j3 lakini ijumaa shule zinafunga na wanafunz watakuwa nyumbani sa ndo mgomo gani inabidi ukigoma athari ionekane
   
 19. m

  m4cjb JF-Expert Member

  #19
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 6,832
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  moja muhimu hapa! Hivi munapokuwa katika Vikao mbalimbali vya TUCTA, huwa munaimba kale kanyimbo kenu ..":grouphug: SOLIDARITY FOREVER X 3, FOR THE UNION MAKES US STRONG!" Sawa, kama huwa munaimba, iweje leo CWT munatangaza mgomo wa walimu wote lakini dada na kaka zenu wa TUGHE, RAAWU, TUICO, CHODAWU, TAMICO, TEWUTA, DOWUTA, TRAWU, COTWU (T), TALGWU na wengine wamenyamaza kimya kana kwamba wewe huna mahusiano kabisa nao!!!? Vyama vya Wafanyakazi Tanzania bado safari ni ndefu sana kuelekea "TRUE UNIONISM" au mumejaziwa mapandikizi toka kwa mahasimu wenu (Waajiri)?

  Kazi ipo! Waombe walimu wakutafutie ulinzi laa sivyo utani utani huenda ikawa kweli waka KULIMBOKA!

  Take care brother!

  God bless all Teachers in Tanzania[/QUOTE]
   
 20. m

  m4cjb JF-Expert Member

  #20
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 6,832
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Baba mkoba we are living in dis crazy world,nahisi kila dk iendayo kwa mungu watawala wanawaza wakufanye nn?usiogope watanzania tupo nyuma yako,from now b4 u go 2 sleep make sure u pray 2 your lord ili hata wakikupeleka pande mungu akunusuru kama kaka ULIMBOKA.
   
Loading...