Kibonde ungekaa tumboni mwa mamayetu dk 2 zaidi angepata kifafa cha mimba kwa kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kibonde ungekaa tumboni mwa mamayetu dk 2 zaidi angepata kifafa cha mimba kwa kweli

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Jul 29, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Ndugu zanguni
  kama mnijuavyo na walionizoea wanaoendelea kunizoea mi sipepesi macho wala sitaki kuwa
  mnafiki pale ninapoona mtu mzima anapopewa chombo kama clouds fm na kuanza kukitumia vibaya bila kujua madhara yake na kushabikia upuuzi na ujinga bila kujua taabu zake na wala madhara yanaoenda kumtokea na zaidi kama si mbaya ni pale unapooambiwa mtu fulani kaewa kiasi fulani na taasisi ya hifadhi fulani ya jamii ili aishabikie kuhusu sheria zake fulani

  dugu kibonde nimekuwa sipepesi macho pale unapokosea na hata hilo sijifichi na mungu anajua ..unaweza sema jf wanakutafuta sana sana lakini ukweli unabaki mdomo wako unaweza kuleta laana ama baraka kwenye nchi hii na sie tunaooona mbali tunakusaidia kukushtua ili usituletee laana kwenye nchi hii ....,kama yalivyotokea mauwaji ya kenya

  sidhani imefika muda muafaka kushabikia na wewe kuongea kama msemaji wa nssf...kuhusu sheria mpya za hifadhi za jamii....nawiwa kusema hili kwamba kama mama yetu mzazi mungu ampe uhai kama yupo wakati anajifungua ungeongeza dk mbili tumboni nahisi angepata kifafa cha mimba....sisemi kwa ubaya ila matendo yako hapo clouds nahisi yalianzia tumboni kwa mama yetu na hamad mungu mkubwa akawahi kukutoa usimwondoe na mamayetu mzazi

  kaka kibonde jua swala hili la hifadhi alikuhusu wewe mwenyewe linahusu wajukuu zako kama utabahatika kuwaona mungu akuepushe na magonjwa haya batilifu...ama wajukuu zako na vitukuu..unaposhabikia ujue swala hili litawaumza kila mmoja kwenye familia yako na ukoo wako watateseka na hii sheria na usiangalie vijimillion ulivyopewa kushabikia ambayo naa miin mpaka sasa asilimia 45 viko chooni ...ni wakati wa kuaonyesha watu mama yetu mzazi akufanya kosa kukuzaaa na sio wakati wa kila mtoto akisikiliza kipindi chenu anasema huyu jamaa ana akili kweli

  mungu akupe ufahamu uweze kuona ya mbele badala ya nyuma
   
 2. D

  DR. RICHARD Senior Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kasemaje naye huyu sijamsikia? unajua huyu jamaa anafikiri kupata sehemu kama aliyonayo ndo anaakili kuliko wengine wote, bahati mbaya tu kwamba nafasi hiyo huwa anaitumia vibaya, mimi nilishaachakumsikiliza kwani huwa nikimsikiliza naishia kumaliza siku yangu vibaya, anajifanya ni mchambuzi kumbe hakuna lolote, halafu mi sielwi maaadili haya ya uandishi wa habari maana siyo taaluma yangu, hivi kweli mwaandishi/mtangazaji anaruhusiwa kusoma habari za magazetini na kuzitolea hitimisho kama vile yeye ndo anajua hizo habari?
   
 3. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  kibonde ni KIBONDE KWELI..... ukisikia akili ndogo kutawala kubwa ndio hii sasa.......
   
 4. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Guys give him a BREAK !! No one is dragged , chained and forced to tune into his slot ....

  Apparently he is only giving his opinion, freedom of speech!!take it or leave it

  Don't go listening to him and run here whinning and acting like a kid aliyekataliwa pipi

  If u can't stand him you have a choice to listen to someone else! I for one don't tune into his program or buy Shigongo stuff either....

  But again if there is a point you are trying to make try to discuss facts and not personalities...
   
 5. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  uhuru wa vyombo vya habari haumpi mtu uhuru wa kuongea kila anachojisikia hasa kama kinagusa interests za wengi na wanyonge... nanai kakwambia mtangazaji official anayerun kimpindi official huwa anatoa maoni katika kipindi?? kila anachokiongea kinaweza kuchukuliwa hatua kisheria kwani ni kitu official na hana uhuru wa kuita kile alichokitangaza kuwa ni opinion...NDIVYO SHERIA ZA UTANGAZAJI ZILIVYO mkuu
   
 6. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  kama nakufuru mungu anajua but naongea ukweli.. kama nikizaa mtoto kama kibonde walhai nambadilisha na gunia la pumba wale nguruwe.. au nikiwa nimezaa watoto wa 3 nasema nina watoto 2 namluka kwenye idadi.
   
 7. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Naheshimu sana mchango wako, ila nimeshtushwa na kichwa cha habari.

  Kichwa cha habari hii kimenivutia kuangalia nini umekiandika na maudhui yake. Napenda tu kukuambia kwamba kichwa cha habari hakiendani kabisa na uliyoandika na kama comment za huyo hazijakufurahisha ujue binadamu tuko tofauti na kila mmoja anakuwa na mtazamo wake ndio hali halisi ya demokrasia, vinginevyo toa hoja ya kushindana naye si matusi kama haya. Kinachoweza kutuunganisha wote ni pale makundi yote moja linapoibuka kuwa na wengi zaidi ndio washindi na kwa utaratibu wa demokrasia hakuna jinsi ni kukubaliana na wengi hadi dirisha lingine litakapofunguka kupata nafasi ya kutetea tunayotaka.

  Matusi hayo ya kumtaja uzazi wa mama wa mtoa comment usizokubaliana nazo ambaye hausiki na maoni ya huyo unayemsema umeenda mbali mno na pengine umekiuka taratibu zinazotakiwa, labda dondoo ya kichwa hicho cha habari kingekuwa kwenye body ya habari kwangu lisingeniumiza zaidi.

  Kichwa cha habari kwa hakika kimemtukana mama wa watu asiye na makosa na ni kosaa la jinai ambalo unapaswa kubeba mzigo, kwani tukishabikia mambo kama haya kushamiri hapa hayatatujenga ile tujenge ushindani wa hoja si matusi kama haya.

  Kumbuka kichwa cha habari ndicho kinachobeba uzito wa habari nzima.
   
 8. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  wewe ni maliyamungu do not say this aisee! unajilaani bana tatizo ni kwamba mtu hutegwa na maneno ya kinywa chake menyewe.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  ndugu mtoa mada nimekugongea like si kwasababu umenikosha bali kwasababu nimekosa mahali pa kusema thumb down.

  kwanza mkuu kimsingi sana umenikwaza kama mama. lol! laiti ungejua gharama ya mtoto anakotoka usingesema hayo ulasema hivi ni kuulize swali sapozi kama mama yake siku anamzaa aliumia sana na pengine leo hii dada yake kibonde anasoma hii post afikiri ataumiaje? na je kwa kuwa wapo ambao wanajua jins mama yake alivyohangaika na mimba yake hadi kumzaa kisha akaja kukutana na tusi kama hili kweli ni fair????

  je ama n kwakua alitoka kwa mama mbona usiseme angebaki kwenye korodanai za baba yake???? this is women abuse and insult.

  mods toen hiki kitu hapa.
   
 10. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Naungana nawe na kukuunga mkono kichwa cha habari hii ni matusi dhidi ya wazazi mama zetu, si jambo la kuvumilika hata kidogo, mimi pia nimeguswa na kukwazika sana na habari hii, kuna mbinu nyingi za kuwasilisha hoja lakini hii ya matusi si alama njema kwa jamii yetu ya kitanzania.
   
 11. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  mashudu anayokula! i quit!
   
 12. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  afadhali kama umeliona hili na wewe. boinafsi niliposoma tu pale juu niliishia kureply kwa hasira sana. hivi sisi wanawake tutakuwa watu wa kutukanwa hadi lini??? jamani hivi kweli tuwazae lakn bado mtutukane??? kweli mbona matusi kama haya hamyaweki kwa wababa??

  hivi kweli MOD wa siku umaridhika na matusi haya??? s kila mama anayepata kifafa cha mimba ni kwasababu atazaa mpumbavu na mshenzi kama huyu kibonde???

  angebaki kwenye viuno vya baba yake angemfanyaje?? jamani acheni kutudhalilisha uzi huu utolewe hapa.
   
 13. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Labda angebaki kwenye kiuno cha babaake,angemsumbua mzee angekuwa anatembea njiani anakatikakatika!
   
 14. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  basi hilo ndo mngelisema hapa kuliko kututusi sisi akina mama.
   
 15. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,222
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Mbagala KIBONDE maji!!
   
 16. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #16
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135


  naunga mkono ila nae K kazidi!!
   
 17. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #17
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  nPM nikupe pole
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  pole mbeijing,,,,kesho MGOMO UPO????
   
 19. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #19
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  khaa! yani nikuombe pole ama wewe ndo ungenipm kusema pole???
   
 20. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #20
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  waalim tz tupo takribn 185000 ni jeshi kubwa sana na tunasilaha zote tumechoka kunyonywa nakuoneewa na serikali toka nchi hii ianze so kwa sasa hivi tunataka mapinduzi. KESHO NI MGOMO NA MIMI NI MIONNGONI MWAO WALA SIHOFII KUFUKUZWA KAZI VYETI NINAVYO BNITATAFUTA PENGINE.

  Bajabri leo nilikuwa naongea na mtu nikamwambia aisee naweza kuwa mwl sehem yeyote dunian ila wazir ama DEO hawez kuwa sehem nyingine zaid ya hapa tanzania tu so wasitutishe aisee. ukinikosa wiki ijayo humu jamvini ungana na wenzio kwenda mambwepande kunisaka aisee.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...