Hii tabia ni mbovu kwenye baadhi ya magezeti

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,409
8,911
Kuna kitu sielewi kuhusu Uandishi wa baadhi ya magazeti, ni hivi mtu unaona habari kwenye ukurasa wa mbele wa Gazeti unaisoma Habari hiyo labda inachukua kama mistari kumi au zaidi halafu wanasema habari inaendelea ndani ukurasa fulani.

Sasa kinachoniudhi ukifunua na kutaka kuendelea kusoma hiyo Habari unakuta Habari imeandikwa tena tangu mwanzo kama ulivyoisoma uk wa 1, sasa kwa nini wasiendeleze walipoishia uk wa 1? kwa maana wameandika inaendelea uk fulani? Kuna haja gani tena ya mtu kurudia yale yale uliyosoma uk wa kwanza?
 
we soma tuuuu kama unaona hilo ni tatzo peleka MCT watarekebisha ila ninajua hayo ni magazeti yako ya umbea ya shigongo ndio yanayoandika hayo mambo
 
bora hivo kuna wakati unakupa hio habari aipo na aiendelei tena,wakat we umenunua kulingana na kichwa cha habari,wanasema habari yaendelea ukurasa wa 3,ukifungua ukurasa wa 3 haipo
 
sioni kama ni issue kubwa ikiwa habari ipo inaendelea kama walivyosema, sometimes inakua hivyo ili iweze jaa mle ndani na pasitokee uwazi utaosababisha page iwe hairidhishi
 
Kuna kitu sielewi kuhusu Uandishi wa baadhi ya magazeti, ni hivi mtu unaona habari kwenye ukurasa wa mbele wa Gazeti unaisoma Habari hiyo labda inachukua kama mistari kumi au zaidi halafu wanasema habari inaendelea ndani ukurasa fulani.

Sasa kinachoniudhi ukifunua na kutaka kuendelea kusoma hiyo Habari unakuta Habari imeandikwa tena tangu mwanzo kama ulivyoisoma uk wa 1, sasa kwa nini wasiendeleze walipoishia uk wa 1? kwa maana wameandika inaendelea uk fulani? Kuna haja gani tena ya mtu kurudia yale yale uliyosoma uk wa kwanza?

Possible answers:
1. Editor hakupitia hizo habari kwa umakini
2. hawana habari za kutosha kwa hivyo wanajaribu kujaza nafasai kiaina

Hata mimi huwa vinanikera ijapokuwa siyo kwa kiwango kikubwa
 
Kuna kitu sielewi kuhusu Uandishi wa baadhi ya magazeti, ni hivi mtu unaona habari kwenye ukurasa wa mbele wa Gazeti unaisoma Habari hiyo labda inachukua kama mistari kumi au zaidi halafu wanasema habari inaendelea ndani ukurasa fulani.

Sasa kinachoniudhi ukifunua na kutaka kuendelea kusoma hiyo Habari unakuta Habari imeandikwa tena tangu mwanzo kama ulivyoisoma uk wa 1, sasa kwa nini wasiendeleze walipoishia uk wa 1? kwa maana wameandika inaendelea uk fulani? Kuna haja gani tena ya mtu kurudia yale yale uliyosoma uk wa kwanza?

Usizunguke saaaana SEMA ni MWANAHALISI
 
Back
Top Bottom