Chagua CCM,Chagua Lusinde,Nchemba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chagua CCM,Chagua Lusinde,Nchemba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkurabitambo, Jul 30, 2012.

 1. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  licha ya vibwanga,vituko na mambo yote ya aibu juu ya hawa jamaa bado mwaka 2015 posters mtaani zitasomeka chagua lusinde.
  CCM Wabishi na wagumu kusoma alama za nyakati.. Watanzania wagumu kuelewa na wepesi kusahau na huo ndo mtaj wakina LUSINDE
   
 2. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Tuondolee kichefuchefu hapa
   
 3. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,353
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  WAJINGA NDIO WALIWAO. NYINYIEM BADO KITAMBO KIDOGO TU ITABAKI HISTORIA. halafu ungehamishia huu uzi kunakohusika.
   
 4. Butho Mtenzi

  Butho Mtenzi JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 328
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Apo kweli ndio ntaapriciate kuwa Watanzania wengi ni wasahaulifu kwani hawa jamaa from wht i know wamekipaka matope ata chama chao
   
Loading...