Wizara ya ardhi jamani?????

Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,631
1,926
Wakuu salaam kwenu wote.

Ni hii Wiazara ya yule mama yangu wa Kanyigo AKA Prof. Tibaijuka. Kero yangu ni hao Masavea ambao hawasavei kitu cho chote badala yake wanasubiri wananchi wagharimie savei halafu wao waje kuomba cho chote eti ili savei iwe aproved.

Nimegharimia savei yangu miezi sita iliyopita hadi leo wananizungusha tu. Nikifuatlia mwenyewe wananimbia nimtume aliyesavei, Savea akienda wanamzungusha tuuuu kumbe wanataka hongo.

Hebu fikiria savei imekaa kwa Tibaijuka miezi sita , halafu anajifanya ni mchapakazi, kumbe anajua kuboma tu nyumba zikishajengwa . Ngoja nione itachukua miaka mingapi.
 
miezi sita hivyo, je mie wa mwaka wa tatu sasa nisemaje, kibaya unasikia sijui wabangladesh wamenunua eka 300000 leo wiki inayofuata wanapewa na hati miliki, mgeni ndiyo mwenye nchi hapa.
 
yaani ukisema ardhi nachanganyikiwa nilinunua kiwanja boko kwenda kupata hati miliki tu sasa mwaka wa pili taratibu zote zimeshafuata na ilinigharimu kwanza kuhonga kama tsh 1.8 mpka sasa mwanzo mwisho sasa hivi nikienda kuulizia naambia chai vipi yaani nimaechoka kujenga naogopa na wananipa vitisho ooh huwezi jua inaweza kurudishwa uanze upya so nisubiri nimechoka nimechoka hizo ngazi kama kuipanda hapa mjini nafikiri ni nyumba ya pili kwa kuipanda mara kwa mara ukitoa pale chuoni kwangu dah ina maudhi sana sana.
 
Back
Top Bottom