Kweli sisi watanzania tunanyonywa sana,hivi kwa nini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli sisi watanzania tunanyonywa sana,hivi kwa nini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by steveachi, Jul 31, 2012.

 1. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 4,127
  Likes Received: 1,723
  Trophy Points: 280
  Bei ya mafuta ya zabuni ya kampuni ya PUMA ni Shs.1,460/= kwa lita moja,huku mtaani tunauziwa si chini ya Shs.2,000/= kwa lita,hivi hii Serikali yetu jamani inatujali na kututhamini kweli,mbona tofauti ni kubwa mno,tujadiline tafadhali kwani inanekana hawa PUMA pamoja na kutoa ofa ya bei hiyo ndogo lakini bado wanapata faida,kuna nini hapa????,hatuibiwi sieeeee????
   
Loading...