SHULE ZA st. MASOMO KAMA KAWAIDA,AKINA kayumba maandamano na mgomo.nini kifanyike mgomo ufanikiwe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SHULE ZA st. MASOMO KAMA KAWAIDA,AKINA kayumba maandamano na mgomo.nini kifanyike mgomo ufanikiwe?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by massai, Jul 30, 2012.

 1. m

  massai JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Shule zote za st.wanafunzi na walimu wako kazini kama kawaida alakini za kinakayumba mambo sio shwari kabisa.nikweli na nidhahiri kua hakuna mbunge au kiongozi yeyote wa siasa hakuna mwanae alieguswa na huu mgomo ndio maana unaona hata bunge yaani kama vile issue yenyewe ndogo sana,nikwasababu haijawagusa alakini kwa mwenye akili hili suala ni baya sana,unamuudhitaliekupa ajira unategemea nini??toa ushauri wako kipi kifanyike ili watoto wote wapate haki sawa,japo hazilingani alakini hata hako kakuungaunga,nini kifanyike nao masomo iwe hakuna?kumbuka pasipokufanya hivyo tutakua tunajenga matabaka,ndio yaleyale uongozi wakifamilia.
   
Loading...