Utafiti wangu juu ya askari mgereza!

samilakadunda

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
1,780
354
Nimetafiti juu ya hawa jamaa,nikajiuliza maswali mengi sana hawajamaa wanapokuwa depo hupewa na mafunzo ya ufugaji wa BATA, Maana kila unapopita katika kambi zao kila askari anakabwawa na mibata! JE Wewe umewahi kuona?
 
Mimi binafsi katika kambi za askari magereza nilizokwisha fika kwa kweli bata ni wengi,sijui kambi nyingine.Ila nimecheka sana kwa hii topic yako mkuu.
 
its tru, me namfahamu hata home kwake binafs wapo hadi bata mzinga...ila very interesting story!
 
Nadhani walimu wao kule Kiwira watakuwa ni wafugaji wazuri wa bata!
 
Hata hivyo wana hali ngumu kimaisha, wanahitaji makazi yaliyoboreshwa
 
Kweli kabisa. Pale Ubena ukipita barabarani utaona bata kibao kwenye kambi ya Magereza...
 
kweli ehee, hiyo hata mimi nimeiona. sababu kuu nafikiri ni kwa sababu ya kuishi mazingira machafu, na wao kutojari.
 
Inachekesha, lakini ni ukweli kabisa, wajelajela wanapenda kufuga bata!
 
kweli mkuu hata mie hapa mtaani kwetua kuna afande anafuga mibata na analala nayo nyumba moja na familia yaani kero tupu
 
Back
Top Bottom