Dr. Slaa maliza honeymoon urudi kazini

Bitabo

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
1,900
687
Wakuu namuomba Dr Slaa arudi kazini na aokoe hili jahazi. gafla nahisi chama kimepoa mno. Mbowe hasikiki, Slaa nadhani mambo ya ndoa yalikuwa yanamaliza mda na sasa yameisha arudi,. Mambo ya hotuba ya Mnyika ya nishati na madini na mchango wa Selasini umetuachia maswali mengi hasa sisi ambao hatuko ndani ya ''system''. Shutuma juu ya Zitto hasa hili la Tanesco na la uraisi. Swala la Singida na mauaji baada ya mkutano. Dr Slaa nadhani ni wakati muafaka uje mbele ya hadhara na useme lolote ili watanzania tujue CHADEMA inamtizamo gani juu ya haya na mengine ambayo hatujayasikia. Ukimya wenu unafanya wengine tuhisi kuwa kuna msuguano ndani ya chama. Nawasilisha
 
I believe Chadema ni imara sana na wape nafasi hawa wakuu wamalize majukumu yao wakirudi iwe ni kikamilifu .Hivi wale walio enda Mahakamani kuzuia ndoa ya Slaa na magazeti ya Mwananchi kuandika sana waliishia wapi ?
 
Hakukuwa na ndoa wewe!
Mkuu kama ni kweli basi naomba MOD wabadili heading kwa jinsi watakavyoona inafaa.Sikuljua hilo Pili hata kama hayuko honeymoon, ila kwenye jamii hatumsikii yeye na viongozi wenzie. hapa JF wote wamekimbia hata Tumaini Makene naye kapotea pia. Nadhani hofu hii sio ya wangu peke yangu. tafadhali waje watutoe hofu hii
 
Sidhani kam chama kimeteteleka!
Chama kipo himara sana!

Chadema si zitto.
 
Kitu kitakachowashangaza watanzania wengi ni pale watakapoona mfumo wa kiuongozi wa upinzani ukiwa tofauti kabisa na wa ccm....watu wengi wanataka wapinzani waige mambo ya ccm, akikosea mtu asiambiwe umekosea eti kwa kisingizio cha kulinda chama. Sisemi hakutakuwa na nidhamu bali anayepaswa kuwajibika atawajibika na hicho ndicho tunachokisubiri. Mfumo wa kulindana utaondoka na ccm
 
Sheria ya kuwabana watu waishio pamoja zaidi ya miezi 6 kuwa wana ndoa inawabana tu katika madai.
haiwezi kuwa jinai ya kumzuia mtu kuachana na mwezi wake na kwenda kuoa mke mwingine.
Pia haiwezi kumfanya mmoja kudai taraka mahakamani kwani ni ndoa iliyo na mkataba wa mazingira tu.
Sheria hiyo inambana mwanandoa kudai nusu ya mali iliyochumwa katika kipindi chao cha ndoa,malezi ya watoto na gharama nyingine kama zipo.

Hii ndiyo sababu mahakama iko kimya, hakuna hoja ya ndoa kisheria.

Pius Msekwa alimwoa Anna Abdallah, ndoa ya kiserikali, wakati bado hajampa mkewe wa ndoa ya kanisani taraka.
Nijuavyo mimi taraka hiyo haijatolewa mpaka leo hii. Kuna kundi kubwa tu la wazee wahuni wana ndoa mpya hali zile za zamani zipo legally. Sioni mtu aki quote sheria wala nini kwa Pius Msekwa.

Issue imekaa kisiasa na immefumbia macho sheria kwa makusudi.
ndoa hailazimishwi lakini upendo ukiisha umekwisha.
Madai ya matunzo ni halali kabisa, na hayawezi kuipinga ndoa isfungwe.
 
Back
Top Bottom