wanasiasa walipwe kulingana na ELIMU au ukubwa wa majimco yao. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanasiasa walipwe kulingana na ELIMU au ukubwa wa majimco yao.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by augustino ameri, Jul 31, 2012.

 1. a

  augustino ameri JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wapo wabunge/madiwani wa darasa la saba,pia wapo wanaoongoza maeneo madogo kama mitaa pia wapo wenye maeneo kama kata,wapo wenye maeneo kama nchi ya Rwanda.Wengine kutembelea maeneo yao ni robo saa wengine masaa wengine siku na wiki,wengine nusu lita petrol.
   
Loading...