Mafisadi kulipua gridi ya taifa ya umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafisadi kulipua gridi ya taifa ya umeme

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by R.B, Jul 31, 2012.

 1. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,167
  Likes Received: 1,102
  Trophy Points: 280
  Serikali naomba ilipe fedha za Dowans ili kutuepusha kukaa kwenye giza.  Mafisadi wana nguvu pamaoja na mtandao mkubwa na wamo humuhumu nchini.
   
 2. o

  oyaoya JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ah Kumbe ni Ombi, yaleyale ya magazet ya udaku, kichwa na habari tofauti!
  Napita tu...
   
 3. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Au na ww mmoja wao!?
   
Loading...