Kichwa Panzi: Ajali ya Meli ishasahaulika, sasa ivi ni Mgomo wa maticha na Rushwa kwa Zitto,,, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kichwa Panzi: Ajali ya Meli ishasahaulika, sasa ivi ni Mgomo wa maticha na Rushwa kwa Zitto,,,

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaJambazi, Jul 31, 2012.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Sijui Nani katuloga.

  Hata kuku anatushinda, kuku ukimvunja mguu kwa kula mahindi uliyoyaanika juani, baada ya dk chache hurudi pale pale kuendelea kula.

  Au haya mavyakula ya kisasa yanapunguza memory capasity kutoka kwenye MB to kb?
   
Loading...