Ole Sendeka kunani Arusha wakati bunge likiendelea?

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Nimemuona mtu kama mbunge wa simanjiro Bw Sendeka akitoka uwanja wa ndege arusha akiwa ktk gari la chama cha mapinduzi mkoa AINA YA GX LA KIJANI AMBALO HUWA LINATUMIWA NA KATIBU WA MKOA ambapo ameingia mitaa ya Majengo ya juu..kuna sangoma paleee.REJEA TUHUMA DHIDI YAKE
 
Mkuu huyo ni fisadi ole sendeka kesho dhaifu yupo Arusha,
waache watambe kwa sasa rufaa ya Lema ikipita tu hawataonekana tena.
refer wakati wa Lema ni PM A town
 
mkuu huyo ni fisadi ole sendeka kesho dhaifu yupo arusha,
waache watambe kwa sasa rufaa ya lema ikipita tu hawataonekana tena.
Refer wakati wa lema ni pm a town

namfuatilia nyuma yupo kwa mganga hapa matejoo
 
Bana nyuma ya mlango!!ikiwezekana mfotoe pia,kama hata mind muulize vijiswali viwili vitatu,halafu usogee mitaa ya hapa joyland tuvifanyie kazi.
 
Duh lile gari limeondoka punde bila yeye,pengine dereva wa chama ametuma na sendeka.nna cm ya mchina ningewapa picha live.IVI C NDO YULE MWENYE KICHWA KUBWA NA NYWELE NYINGI.YUPO HAPA KTK MBAVU ZA MBWA.
 
kapagawa huyo...sasa hivi ni kama popo,..mnyama si mnyama ndege si ndege
 
ni moja kati ya wabunge wa cmm mkoa wa arusha na ni watiifu kwa raisi dhaifu

Ndugu sesy nzenga Ole Sendeka ni mbunge wa Simanjiro ambayo iko mkoa wa Manyara na si Arusha; labda kama kwa sasa anakaimu nafasi ya mbunge wa Arusha
 
Last edited by a moderator:
Lile gari la magamba limekuja kumchukua mda c mrefu..NAONA KANA KWAMBA WAMEPOTELEA MITAA YA SG RESORT.
 
Yuko sokoni ametumwa njiwa wa sadaka, amepewa sharti atafute njiwa aliyefiwa na mumewe.
 
Nimemuona mtu kama mbunge wa simanjiro Bw Sendeka akitoka uwanja wa ndege arusha akiwa ktk gari la chama cha mapinduzi mkoa AINA YA GX LA KIJANI AMBALO HUWA LINATUMIWA NA KATIBU WA MKOA ambapo ameingia mitaa ya Majengo ya juu..kuna sangoma paleee.REJEA TUHUMA DHIDI YAKE

Soma Nimeweka HOJA toka RAIA MWEMA alikutana na Mzee Malecela Arusha; Nasikia bado hawakuelewana

Ni kuhusu UFISADI
 
Duh sasa hivi kweli mafisado wana tabu! Sijui wataficha wapi nyuso zao. Mzee Ole Sendeka bado anaamini Sangoma atamuokoa na hii kashfa, kweli TZ tunaongozwa na Obsolete politicians.
 
Back
Top Bottom