Jk live tbc1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk live tbc1

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KELVIN GASPER, Aug 1, 2012.

 1. KELVIN GASPER

  KELVIN GASPER JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 962
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  AGENDA
  1. AJALI YA MELI
  2. GESI ASILIA
  Mgomo wa walimu ataongelea kidogo kwani mahakama kesho itafanya maamuzi.
   
 2. K

  Korogwe Vijijini Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani watanzania wenzangu hivi sio vitu vya kukosa hakikisheni mnaangalia tbc 1 ili kufahamu ni mambo yapi rais atayaongelea Mungu akipenda kesho tutajadili yaliyotulizisha na yasiyotulizisha.RAMADHAN KAREEM
   
 3. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Saa ngapi jamani anaanza?
   
Loading...