Summry ya Kigoma - Dar yapata ajali mbaya

Kibirizi

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
604
146
Gari ya abiria Summry ambayo ilikuwa inatoka Kigoma kwenda Dar leo imepata ajali mbaya maeneo ya Kifura karibu na makao makuu ya Wilaya ya Kibondo, bus hilo limegongana uso kwa uso na gari aina ya Scania huku likiwa na tela ambalo limesheheni mzigo wa cement, majeruhi waliwahishwa hospitali ya wilaya ya Kibondo wakati majeruhi kama wanne wakiwa hoi sana, dereva alipona ingawa naye majeruhi, lakini baadaye askari polisi walionekana wakihaha kumsaka dereva kwa kukagua kila gari inayopita.
 
Hizi sumry zinaendeshwa kwa kufata sheria zipi make yawezekana brake hazina,matairi vipara,madereva bangi,wamiliki bangi,sait mila ubao
 
Sumry now wanaongoza kwa ajali: wafungiwe ASAP!!!!!!

Hawawezi kufungiwa maana sio competitors wa kampuni iliyo mbioni kuanzishwa na Ridhiwan Kikwete. Ila Dar Express ambao ni serious competitors kwa kampuni yeyote ya usafiri wa abiria especially kati ya Dar/Arusha/Nairobi lazima wafungiwe kwa kusababisha ajali za kubuni!
 
Poleni sana mliopata ajali na muugue pole. Halafu ajali hiyo niya kawaida tu mpka dereva na yeye ni majeruhi..
 
Duh, nimekupata!!!
 
Ama kweli wewe ni mtoboa siri.
 
Poleni sana mliopata ajali na muugue pole. Halafu ajali hiyo niya kawaida tu mpka dereva na yeye ni majeruhi..

Dereva kuwa majeruhi sio justification eti ni ajali ya kawaida!!!!! Dec last yr bus 2 za kampuni ya super feo walikuwa wakishindana wao kwa wao, after 1hr journey superfeo la pili likaanguka baada ya dereva kuishindwa kona just b'se ya kumkimbiza mwenzie, watu kadhaa walikufa, dereva alikatika mkono, zen we cant justfy kuwa ilkuwa ajali ya kawaida just b'se dereva didnt die!!!
 
Back
Top Bottom