Namba ya gari la Mwenyekiti wa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namba ya gari la Mwenyekiti wa CHADEMA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyetk, Aug 1, 2012.

 1. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Wadau,
  Kwa kuwa serikali kupitia waziri wa fedha imeruhusu mtu kusajiri namba ya gari anayoipenda na atalipia shilingi milioni 5 kwa miaka mitatu, napendekeza gari la mwenyekiti wa CHADEMA lisajiriwe kwa namba hii:

  T 2015 CHADEMA


  Hii ni kwa kutumia ubunifu wa mwana JF mwenzetu aitwaye paty.

  Nawasilisha.
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Badala ya kupendekeza wewe nenda kalipie tu, mchangie chama chenu.
   
 3. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  sidhani kama magamba yatakubali....hasa hiyo T2015. gud idea tho.
   
 4. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Nape usibadilishe majina kila mara!
   
 5. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  La zito liandikwe WF 2015 ZZK
   
 6. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 521
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  nadhani ikiwa T 0000 MAGAMBA
  itapendeza sana
   
 7. a

  andrews JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ​safi sana nape nae ataiga tu
   
 8. m

  markj JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  watu makini hawana muda mchafu wakutumia pesa kijinga namna hii na kuwanufaisha watu wengine! wakati wananchi wanashida ww unasajili magari namba kwa gharama kubwa wakati zipo gharama za kawaida! yani namba ya gari ni bora kuliko dhamani ya mwananchi? sijaona umuhimu wa ili swala! waswahili wanasema kama ipo ipo tu! 2015 itafika tu kwa uwezo wa mwnyezimungu! ila wewe utakuwa hutufai kwenye chama chetu! mana inaonyesha unamatumizi ya kifisadi kwani kuweka namba hiyo ya gari kwa hizo gharama ni kama vile matumizi ya ATCL kwenye mavazi! take care mkuu! kamati kuu itakushughulikia mara moja!
   
 9. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #9
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Tutaliombea haki miliki.
   
 10. K

  Koffie JF-Expert Member

  #10
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 403
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ok...... Baada ya 2015 libadilishwe liwe T 2020 CHADEMA
   
 11. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #11
  Aug 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Naunga mkono hoja 100%. Itaeneza ujumbe popote inapopita.
   
 12. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #12
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Bila shaka itakuwa hivyo!

  Itapendeza!
   
 13. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Nitaenda lipia la mbunge wangu Mwigulu na litaandikwa MN MROPOKAJI
   
 14. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Punguza monkari mkuu, saumu isikupe wazimu. Kama vipi potezea tu, mwezi bado mbichi huu, usijepata vidonda tumbo!
   
 15. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  la nani litaandikwa VUVUZELA?
   
 16. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #16
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Si yule nanilii.... nani vile?
   
 17. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Hapana. Litakuwa na nembo ya ikulu.
   
 18. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #18
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Hold on one minute: Bila shaka WF unamaanisha Waziri wa Fedha, siyo?
   
 19. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #19
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sio nape ni mwigulu huyu ...amini mimi
   
 20. m

  mkizungo JF-Expert Member

  #20
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sion kidude cha likes,,,
   
Loading...