Peoples Power - Mtoto wa mwaka na nusu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Peoples Power - Mtoto wa mwaka na nusu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by newmzalendo, Aug 2, 2012.

 1. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,362
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Leo ,dogo hapa home kaniacha mdomo wazi,
  nafika anasema PIPOZ PAWA, ana umri wa mwaka 1 na nusu tu
  anasoma vidudu/day care, nahisi mwalimu wao anawafundisha itikadi za chadema.

  hii imenikumbusha miaka ya enzi zetu za chipukizi.
   
Loading...