Neno kutoka kwa Mh SUGU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Neno kutoka kwa Mh SUGU

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkurabitambo, Aug 2, 2012.

 1. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  ...jana nilikomaa kuitaka serikali ilete mbeya mjini ambulances tatu,moja kwa ajili ya hospitali ya rufaa,ya pili kwa ajili ya hospitali ya wazazi meta na nyingine ya standby iwapo mgonjwa atatakiwa kuletwa muhimbili n.k...lakini waziri dr mwinyi amenihakikishia tutapata ambulance moja mpya kwa ajili ya rufaa kutoka wizarani,na nyingine kanielekeza nikakomae na halmashauri ya jiji,kitu ambacho nitakifanya bila shaka..


   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Now whats your "MY TAKE"?
   
 3. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kafanya alichotumwa na wanambeya,kawajibika kama alivyo ahidi sio kama mbunge wako anaelala bungeni akisingizia amekunywa dawa za kutuliza maumivu
   
Loading...