Kwa hotuba ya rais Kikwete wabunge gani wataacha kuendelea kupokea rushwa: Mungu tu aingiilie kati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hotuba ya rais Kikwete wabunge gani wataacha kuendelea kupokea rushwa: Mungu tu aingiilie kati

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Aug 2, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,655
  Trophy Points: 280
  Kwa hotuba ya jana wapendwa
  nahisi ni ngumu kwa serikali hii yenu iliomadarakani kuacha kuendelea kuiba
  kwa njia ya rushwa...nasema hivi kwa masikitiko kuona kauli ya mh rais
  akitamka hadharani akukuwa na rushwa ya aina yoyote kwenye sakata la rada
  nahisi ni kamchezo mchafu kanahusisha mpaka ngazi za juu za taifa
  ni ngumu kuendelea kuandika maana yaliyomo moyoni ni mengi kuliko uchafu wanaoendelea
  kufanya serikalini......
  Ni wazi rushwa kuisha ni ngumu kama mkuu wa nchi anaidhinisha uhalifu hivyo basi
  ni mungu tu na neema yake waingilie kati

  nimejiuliza kama wabunge wameona
  --kesi za rada zimeishia kwa spika kabatini kama sio chumban mwake]
  --kesi za richmond
  --kesi za symbion
  kwa nini na wao wasineemeke na tanesco ndugu wapendwa
  wacha mh william mhando nae atengeneze kakampuni chake ati kwa nini nani ametoka kwao kuja
  dar kulima lami ??na wewe apo ulipo tengeneza maisha yako sasa usisubiri nssf/ppf/ wenzio ndio
  washafunga mpaka ufikishe miaka 55.........,
   
Loading...