Samwel Sitta akiwa TAPANA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Samwel Sitta akiwa TAPANA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by baajun, Aug 31, 2012.

 1. b

  baajun JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa ,tulifikiri ni mtu makini kumbe na wewe una matatizo ya akili.Unajua ulishawahi kuwa mwenyekiti wa TANAPA?.wewe umehusika moja kwa moja kuuza wanyama,na kutoa leseni za kuua wanyama eti kwa akili yako ni kukuza uchumi wa nchi,Leo unakuja na mawazo yako kuwa Chadema hawezi kuongoza nchi.CCM NDIO IMEHUSIKA KUHUJUMU UCHUMI WA NCHI UKIWEMO NA WEWE HAPO.KWA KU DEPELETE RESOURCES MUHIMU KAMA WANYAMA,LEO HII WATALII HAWATAKI KUJA TANZANIA ,SIO KWA SABABU NYINGINE NI KWA SABABU YAKO WEWE NA CCM YAKO KUUZA WANYAMA NJE YA NCHI NA KULETA WATALII KUWAUA WANYAMA PORI ,BAADALA YA KUJA KUTALII NA KUACHA DOLLAR ZAO.WEWE NA CCM YAKO HAMUWEZI TENA KUONGOZA NCHI.KWANI TUPO VIJANA WASOMI NJE TUTATOA USHAURI WA UCHUMI ENDELEVU[SUSTAINABLE ECONOMY] ,NA NYIE MAFISADI MTAONA.TANZANIA SIO HIVYO MNAVYODANGANYA WATU.TUKILINGANYISHA MALI ASILI NA IDADI YA WATU.NI AIBU.UNAONGEA PUMBA.BOSTWANA WANA DIOMOND NA NG'OMBE TU ,NA WANA IDADI YA WATU MILLION 2.NA WABOTSWANA WANA MAISHA MAZURI ZAIDI.OKAY TUHESABU RESOURCES ZETU MOJA MPAKA YA MWISHO.[MAKAA YA MAWE,MAFUTA.GESI.TANZANITE,GOLD,DIAMONDS,RUBY,URANIUM,CHUMA,SECTOR YA UTALII,KILIMO NA VINGINE VINGI .KWA KWELI TUMEKOSA MANAGEMENT ,NINA MAANA KIONGOZI .NA HATATOKA CCM HATA MARA MOJA.WATANZANIA TUSIMAMAE SASA HIVI HAWA WAZEE HAWANA JIPYA ,SIO SMART KUANGALIA MBELE. View attachment 63485
   
Loading...