Lini Daktari Kikwete atakuja kujibu maswali,tuhuma hapa JF? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lini Daktari Kikwete atakuja kujibu maswali,tuhuma hapa JF?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yo Yo, Aug 31, 2012.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
 2. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  bora asije maana atatuchefua
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  hapana mkuu...ni vema akaja aka clear dauti......
   
 4. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  bora aje bwana atujibie maswali yetu
   
 5. K

  KWAPA Member

  #5
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Na hivi mnatumia I'D za kujificha,jumlisha Na mitusi mliojaaliwa plus midomo michafu km vyoo vya soko mmmh bora asije! Sijui km kuna kipya atakachokisikia zaidi ya mitusi mipya!!
   
 6. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  aisee wewe mbona hamnazo?......mijitu mingine bana.......
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Wewe mwenyewe unatumia njia ya matusi kurekebisha wanao toa matusi alaf unategemee kitu tofauti!

   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Bora asije maana hatajibu vizuri hayo maswala na hajazoea kujibu maswali magumu!
   
 9. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Alijaribu kufanya kipindi cha maigizo kilichoratibiwa na Tido Mhando na Salva Rweyemamu kupitia TBC, lakini wauliza maswali waliandaliwa Usalama wa Taifa tupu. inshort JK hana guts za kuface public challenge ndio maana alimkimbia Dr Slaa kwenye mdahalo wa kugombea Urais.
   
Loading...