Rais Kikwete yuko mapumzikoni Serengeti

Status
Not open for further replies.

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
816
Mheshimwa Raisi yuko Mapumzikoni Billila Serengeti tangu siku ya juma nne na habari zinasema bado ataendelea kuwepo mpaka mwisho wa wiki.

Pole Mheshimiwa na tunakutakia mapumziko mema kwa kazi ngumu na majukumu uliyonayo katika kiti chako.
 
Ina maana hakwenda kumzika mzee Matonya? Anyway huenda ameenda kufanya uchunguzi kujua ni wanyama wangapi waliuzwa kule Uarabuni na kama siyo kujionea jinsi mambo yanavyokwenda.
 
Juzi nimemuona mutoto wa mwarabu mwenye vitalu akikatiza arusha kwenda kule..tegemea akina MONG'O kuhamishwa tena.
 
lol memsema sana rais wangu kutangaza nchi nyingine sasa anatangaza bongo pia mnamsakama mzee hamia hollywood ukimaliza muda wako
 
Ok, as far as I know he also went to Billila in March this year for two weeks break.
Well, this is the second time for this year, for me I have no problem as he may surely deserve a total rest basing on what he has accomplished for Tanzanians. So let us list and appraise

I start with number 10

10. Maandalizi ya sensa
9
8
7
6
 
No offence but mapumzikoni kwa kazi gani aliyoifanya?

Amesafiri sana na amechoka anahitaji mapumziko na kutafakari baada ya waalikwa wawili kati ya wanne waliokwenda US kupanga mkakati wa food security kurudi kwa Bwana Mungu.

Lakini pia alitembelea mashamba mawili ya minanasi. Amejichokea mkulu anahitaji mapumziko.
 
Mwacheni mkuu apumzike ,akitoka hapo ana kibarua kigumu Ethieopia kumzika Zenawi.
 
Ukiona hivyo basi tambua kuna wageni anakutana nao huko kwa ajili ya another dubious deal, lol.
 
Mheshimwa Raisi yuko Mapumzikoni Billila Serengeti tangu siku ya juma nne na habari zinasema bado ataendelea kuwepo mpaka mwisho wa wiki.

Pole Mheshimiwa na tunakutakia mapumziko mema kwa kazi ngumu na majukumu uliyonayo katika kiti chako.

Nijuavyo mapumziko hutakiwa baada ya kazi.... Kazi ipi imefanywa hadi kuwa na mapumziko haya?
 
Ok, as far as I know he also went to Billila in March this year for two weeks break.
Well, this is the second time for this year, for me I have no problem as he may surely deserve a total rest basing on what he has accomplished for Tanzanians. So let us list and appraise

I start with number 10

10. Maandalizi ya sensa
9
8
7
6

we utakuwa mmoja wa MAOFISA WAKE WA USALAMA WA IKULU. Kama si RAMA sijui utakuwa nani!
 
Rais anahitaji mapumziko.Uongozi ni kazi ngumu sana kuliko tunavyofikiria wakati tunang'ang'ania na kutumia mbinu mbali mbali kuupata. Kwa vyovyote vile akili nayo inataka space ili kujipanga na kusogeza mambo mbele.
 
Mheshimwa Raisi yuko Mapumzikoni Billila Serengeti tangu siku ya juma nne na habari zinasema bado ataendelea kuwepo mpaka mwisho wa wiki.

Pole Mheshimiwa na tunakutakia mapumziko mema kwa kazi ngumu na majukumu uliyonayo katika kiti chako.
yaani watanzania watu wa ajabu sana baada ya kufuatilia maisha yako magumu uyatatue unafuatilia maisha ya kikwete ambayo hadi kufa kwako hutayapata wala kuyakaribia . muda huo wa kufuatilia maisha ya kikwete kwa nini usiutumie kutafuta hela ndio maana mnakufa masikini. sasa ameenda kupunzika je wewe inakuhusu? au ulitaka asipunzike?
 
Amesafiri sana na amechoka anahitaji mapumziko na kutafakari baada ya waalikwa wawili kati ya wanne waliokwenda US kupanga mkakati wa food security kurudi kwa Bwana Mungu.

Lakini pia alitembelea mashamba mawili ya minanasi. Amejichokea mkulu anahitaji mapumziko.

MKUU FUNGUKA KIDOGO JUU YA HAO WAWILI WALIORUDI KWA BWANA MUNGU,itusaidie kuconect dots vizuri
 
No offence but mapumzikoni kwa kazi gani aliyoifanya?

Bora apumzike ila hata mie sijajua kama alistahili.....ukizingatia mambo ambayo ameyaacha kwenye IN TRAY ni mengi kuliko aliyopitisha na kuwa kwenye OUT!!

Hivi huwa kweli anajua anachotakiwa kufanya, in terms of priority?
 
  • Thanks
Reactions: ral
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom