Poll:TRA Services

Poll:TRA Services

Asycuda daily ipo down,washenzi tu services mbovu,wezi wakubwa gari nanunua usd2500 mnakuja kunicharge kodi usd3000 sh**zi type!
 
Asycuda daily ipo down,washenzi tu services mbovu,wezi wakubwa gari nanunua usd2500 mnakuja kunicharge kodi usd3000 sh**zi type!
nimeleta Gari from Zanzibar, kodi yake ni zaidi ya Gari from Japan, Na toka Alhamis mpaka Leo alhamis ingine system iko down
 
nimeleta Gari from Zanzibar, kodi yake ni zaidi ya Gari from Japan, Na toka Alhamis mpaka Leo alhamis ingine system iko down

Yani acha tu Sir. Burn hao jamaa ni was**nzi sana,ningependa waziri husika awafundishe adabu hao matop wa hapo,kodi kibao hazina kichwa wala miguu,kwenye katiba mpya sie tunaolipa kwa paye tuingizwe kwenye PIN ili tuweze kupata unafuu tukiagiza magari/vitu nje coz ni wachangiaji wakubwa wa uchumi.
 
Nimetoka leo TRA; kwenda kuchukua tu road license follen huku na kule; utafikiria enzi zile za kuunga follen za sukari; shame on them. Kwanini wasitoe huduma kwa ufanisi? masaa mawili kwenye foleni? Wakati wanakusanya kodi za kutisha zinazoingia mifukoni mwao. kwa nini wasiajiri watendaji wa kutosha? Nadhani tatizo kubwa ni lile la kuwekana humo. No efficiency at all.
 
Sasa magari tunayonunua nchini Zanzibar na yamelipiwa ishuru TRA, yakifika TRA ya hapa Tanzania yanapigwa ushuru mkubwa kuliko tunayoagiza nchini Japan. Mbona tunayonunua DSM tupeleka Mbeya hatulipii ushuru?
 
Hawa jamaa wanatulostisha tu...wanakula sana vya wanyonge kwa vitisho vitisho
 
Vote hupigwa penye utata wa maamuzi ......kwa hawa iko wzi kuwa ni wabovu na wajeuri wakubwa !!!! Sasa kura ya nini ?????

Endelea kusoma maoni utapata jibu na mapendekezo pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom