Tutimize wajibu wetu kwa kujiorodhesha hapa kama hujahesabiwa sensa ili kusaidia serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tutimize wajibu wetu kwa kujiorodhesha hapa kama hujahesabiwa sensa ili kusaidia serikali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by I have a dream, Aug 31, 2012.

 1. I have a dream

  I have a dream Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  :yawn: Mimi nikiwa mmojawapo sijahesabiwa naomba na wengine mjiorodheshe ili serikali iweze kufanya tathmini ni wangapi hawajahesabiwa.

  Kwa upande wangu nimesikitishwa na jinsi watu wanavyojibu maswali kwa kutoa taarifa za uongo....mfano mtu anaulizwa ana miaka mingapi anajibu mia na ukimwangalia ana kama 30. mlilala wangapi usiku wa kuamkia jpili anajibu mimi mwenyewe lakini unakuta yuko na watoto wadogo kibao.

  Anyway kuna changamoto nyingi kweli.
   
 2. muonamambo

  muonamambo JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Bado sijahesabiwa na sidhani Kama makarani wanampango wa Kuja kwenye kibanda changu
   
 3. I have a dream

  I have a dream Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  watu tuendelee kujiorodhesha
   
 4. MPIGA ZEZE

  MPIGA ZEZE JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 515
  Trophy Points: 280
  Faida za kuhesabiwa ni nini? Tulihesabiwa mwaka 2002 na leo hii baada ya miaka kumi watoto wa shule za msingi mijini na vijijini wanasomea sakafuni kama sio chini ya miti! najuta nimechelewa kuanzisha kampeni ya kugomea sensa hadi serikali ituthibitishie sensa ya 2002 iliisadiaje kuleta maendeleo!!!! Huwezi kuchezea wananchi kuwa madubwasha ya kuhesabiwa kila bada ya miaka kumi bila lengo lo lote maalum.
   
 5. t

  tenende JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  ...............1. I have a dream; .. Makazi- Fyengereza; Jinsia: Mume; Idadi ya wake 6. ..............2. Muonamambo; ... Umri 19,.. Wake wawili.. Kabila - Chinga; Kijiji - Nanguruwe. ..............3. Mpiga zeze... Kazi: kukata Viuno;.. Wake =10, watoto 24; malengo: kuoa wengine!
   
 6. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Zoezi halijaenda vizuri,tuwe wakweli sio kila kitu ni ushabiki ,inaonyesha fedha za maandalizi nyingi zimetumika kulipana posho,kati ya ambao hawajahesabiwa ni pamoja na na baadhi ya wakazi wa musoma kwa mujibu wa chanel 10
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  wanaisoma kimyakimya,,,,,,LIFANIKIWE LISIFANIKIWE HALINA TIJA,,,,SIE TUENDELEE KUHANGAIKA KUTAFUTA RIZIKI YA UNGA
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ni kweli MZ,sensa hapo ndo inapoonekana haina tija mdau,na ndo maana wadau wengi hawakupenda kujiandikisha
   
 9. Nokla

  Nokla JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 2,121
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  watu vigeugeu sana, wakati waislamu wanahamasishana kugomea sensa watu mapovu yalikuwa yanawatoka wakadai sensa kwa maendeleo, leo hii hata mwezi bado mnaanza ku-lament, kumbe inawezekana watu walikuwa na chuki binafsi tu eti?
   
 10. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60

  Mkuu, hivi wewe ulidhani wanaowaponda waislamu kuhusu kuhesabiwa, wao wanajua maana ya kuhesabiwa??? hakuna lolote wanafiki tu, tangu lini serikali ya ccm majambazi/mafisadi ikatumia takwimu kwa aijri ya maendeleo??? wote wanajua hivyo, anzia kwa maaskofu, waumini wao, mpaka maswahiba zao bakwata, wanajua zoezi la sensa ni unafiki hakuna lolote. ILA KILICHOFANYIKA NI WATU KUWATUKANA WENZAO KWA KISINGIZIO CHA SENSA KWA MAENDELEO. HAKUNA LOLOTE HAPO, TUSIDANGANYANE.
   
 11. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  hata ukijiorodhesha kila mwaka kwa serikali hii ya mafisadi hutopata maendeleo ng'o!
   
 12. A

  ADK JF-Expert Member

  #12
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,150
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  hapo swala sio kuwapinga tu ila sababu waliyokuwa wanaitumia ya kipengele cha dini ndio kilikuwa hakina mashiko. Ila kama wangegoma kwa sababu sensa ya 2002 haikuwa na tija kwa mtanzania wa hali ya chini hapo wangepata ushirikiano kwa raia wengi ambao ni wadau wa maendeleo
   
 13. A

  ADK JF-Expert Member

  #13
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,150
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  swadakta kwa hilo tupo pamoja na sio kwa kugomea vitu vya msingi kwa mgongo wa dini
   
Loading...